kuritovu
Member
- Dec 29, 2021
- 60
- 24
Habari ni gani wakuu
Kwa dunia iliyopita na hata ya sasa ukiitazama kwa kina (Third eye)utagundua Kuna link iliyopo kati ya pesa na mvinyo na hii imepelekea watu wengi kuwa maskini kutokana na kutumia fedha zao vibaya yaani(kunywea mitungi) unakuta mtu anafanya kazi ngumu sana let say, zege then anaenda kuitumia in alcohol..
Asubuhi anaondoka saa 11 hajacha fedha ya matumizi nyumbani wala nini...Alafu anarudi usiku kalewa chakari.
Mimi ninaona ni upuuzi mtupu tena ni upungufu wa mawazo kutumia pombe ovyo ovyo huku huna mipango yoyote ya kimaisha.
Nina mifano kadhaa ambayo inaonyesha dhahiri uhusiano uliopo baina ya pombe na mvinyo
1. Tajiri yuko tayiri kununulia pombe ata ya elfu 50 kuliko akupe hiyo fedha kwa nini asikupe iyo kibunda uamie wewe nini cha kufanya.
2.Unakuta mtu anadaiwa kodi ya nyumba,ada ya watoto shule.bili za maji na umeme n.k lakini akipata PESA tu ni kwenye kulewaa.
Je hii ni laana au ni ulimbukini wa kufata mkumbo (yaani) kulewa ili na mtu aonekane mjanjaa???
Karibuni tujadili kwa pamoja hoja ndio cha msingi hapa