Mimi pia nilishawahi kusikia jambo hili la watoto wachanga kutokudhuriwa na nyoka, ila suala la mapacha silijui kabisaLabda kumbukumbu isiwe nzuri.
Nilipokuwa mdogo.
Kama nilishawaiwahi kusikia kuwa nyoka huwa hamdhuru mtoto mchanga/mdogo.
Kuhusu Mapacha sifahamu