Kuna uhusiano gani kati ya mapenzi na kabila?

Kuna uhusiano gani kati ya mapenzi na kabila?

Ndugu yangu kabila kama kizuizi cha ndoa inakuja kama mme kacharara!Ukiwa na hela hawaangalii hii

Jipime kaka na ongeza bidii kutafuta pesa utaoa hata Mtumbatu wa Mtambwe-Pemba
 
Wanaagalia mambo meeengi kwenye kabila, kama vile ujanja wa staili za kitandani.

lakini pia wanaangalia ujanja wa kutafutia pesa kwa maana kuna makabila mengine hawajui maendeleo wao ni kujaza ming'ombe miiiingi lakini maisha duni. Kila siku kazi ni kuwatumikia ng'ombe tu, badala ya ng'ombe kuwatumikieni.

Teh Teh hii ni vta ...
 
hatutaki vyasaka,either me or ke..tafuta vyakwenu
 
Mwl mbona huyu ni msukuma wa kwanza kusikia amekataliwa? Bado na shangaa au amedanganya kabila atakuwa wa kule tega ni kirare?

Tatizo la hawa kaka zangu wasukuma wakipenda wanapenda haswa hadi wanakua kama mateja huenda hata huyu ni hivo na kuna watu wasiopenda hizo teja-love labda ndo maana katoswa lol....
 
Tatizo la hawa kaka zangu wasukuma wakipenda wanapenda haswa hadi wanakua kama mateja huenda hata huyu ni hivo na kuna watu wasiopenda hizo teja-love labda ndo maana katoswa lol....

Teh teh hawachelewi kugawa zizi zima la ng'ombe!
 
Hakuna uhusiano kabisa. Labda ni kwa sababu umekataliwa na mchaga/wachaga ndiyo umehisi hivyo. Tafuta mwanamke wa kabila tofauti kama pia ukikataliwa basi tatizo lipo kwako, na siyo ukabila.
 
Back
Top Bottom