sio kweli mkuu mbona hapa NMB wanalinda askari polisi wa kawaida.
Benki zingine ni ubahili tu .......lakini CRDB hata wilayani zinalindwa na askari wa FFU .....majambazi kuvamia askari wa FFU huwa ni ktk mazingira ya kujipanga kweli kweli tofauti na askari wa kawaida ......lakini pia si kila askari mwenye mavazi yanayofanana na FFU ni FFU ....askari wa FFU wanatumia kofia nyekundu ......hawa wa doria wanatumia kofia nyeusi .......
Nimetembea mikoa mingi hapa Tanzania bara, kila ninapokuta benki ya Crdb basi lazima askari wa FFU ndio ambao wapo lindo tofauti benki nyingine unakuta askari wa kawaida ndio wapo lindo.
Mwenye kujua aje atujuze kwanini iko hivyo , karibuni wanajamvi.
Benki zingine ni ubahili tu .......lakini CRDB hata wilayani zinalindwa na askari wa FFU .....majambazi kuvamia askari wa FFU huwa ni ktk mazingira ya kujipanga kweli kweli tofauti na askari wa kawaida ......lakini pia si kila askari mwenye mavazi yanayofanana na FFU ni FFU (hata waandishi wanajichanganya sana) ....askari wa FFU wanatumia kofia nyekundu (ingawa inatokea kwenye mazingira flani kuvaa kofia nyeusi) ......hawa wa doria wanatumia kofia nyeusi .......