Kuna uhalali gani baadhi ya watumishi serikalini kupandishwa cheo bila kurekebishiwa mshahara. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna uhalali gani baadhi ya watumishi serikalini kupandishwa cheo bila kurekebishiwa mshahara.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KANGALA, May 9, 2011.

 1. K

  KANGALA Member

  #1
  May 9, 2011
  Joined: May 5, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inasikitisha sana serikali kuwapandisha cheo baadhi ya watumishi wake na kuchelewa kuwarekebishia mshahara wao kwa zaidi ya miaka mitatu.

  Hivi kuna mantiki gani kumpandisha cheo mtumishi iwapo anendelea kulipwa mshahara ambao hauendani na cheo hicho.
   
 2. t

  tusichoke JF-Expert Member

  #2
  May 9, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 1,286
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Wanapandisha ili kujiosha ili wakiulizwa wanasema wanajali watumishi kumbe hawana bajeti ya kuwarekebishia mishahara
   
Loading...