Kuna ubaya wowote kutoboa masikio?

Kuna ubaya wowote kutoboa masikio?

Sio maskio tu, Mwanamke ni Urembo!

ila asizidishe kipimo cha Urembo! Toboa mara 1 upendeze muhimu ujue kupangilia hizo Hereni huko sikioni.

Binafsi napenda mwanamke Atoboe hata Pua, afanye kila analoweza litakalomfanya nimuone Mrembo!

Wanawake ni kama Nguo, kila mtu atachagua nguo aipendayo inayomkaa vizuri..

Binafsi napenda mwanamke Mrembo haswaaa, na anae enda na Fashion!

Tabia haipo katika muonekano japo.
Mimi kwangu mwanamke awe mzuri wa sura na umbo inatosha kabisa na ajiweke msafi na nadhifu. Hayo mambo mengine sioni ni kwa jinsi gani yanaongeza urembo.

Mfano unataka kuniambia mwanamke mwenye sura ya baba yake na umbo la mswaki akitoboa pua na masikio mashimo 10 ndio anaongezeka urembo? 🙄
 
Inategemea,

KWanza hamna mwanamke mwenye kukubali uanamke wake (sio hawa shemale)

Mbaya, mwanamke yyte akikaa kikike akiongeza na urembo mwilini kama hzo heren,vipin nk urembo unaongezeka.

Swala urembo tumetofautiana macho
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom