Kuna ubaya kutoa nywele za katikati ya makalio, katika ule mfereji wote?

wabongo wanafiki sana, baada ya kujibu swali wao wanakimbilia kumu attack mtu eti kisa katumia neno mkunDu
 
Lugha uliyo tumia ni kali mno

Cc @mods Paw mkaribisheni nyuu memba naona haja soma hata Rules za JF
2018-12-14-01-27-04.jpeg
 
Mods wa Jf wana vinasaba vya CCM uzi kama hizi zinasavaivu mguse ccm mwenzao unakula long term ban!
 
Sijajua kwa wanawake ila nilikuwa na jaribu kuangalia kazi yake haswa ni nini
hizo nywele huwa zinazuia msuguano na kuondoa majasho
ukinyoa nikama mda wote unahisi umetepweta yaani zile jasho zinakuwepo tu mda wote
Pia hata kutembea kutabadirika maana ule msuguano wa kalio na kalio utauona
so nakushauri usizinyoe Mkuu, pia hizo kumbuka hazioti kuwa ndefu kama rasta wengine tunajua tunazo ukiwa unatawaza tu
hazioti kusema zinaleta kero fulani lakini nadhani ukinyoa hautakuwa sawa kabisa pia sio kama ni sawa kwa mwanaume kuziondoa
 
Nywele hizo sio uchafu bana... Zina kazi yake hizo...
Asilimia 99.9 hapa wamesema hizo nywele hazinyolew wakat n uchafu tu kama uchafu mwingine...nywele hizo zinaficha kinyesi ukiplus na jasho sitaki kujua hiyo harufu yake...wanawake tuna kazi.
 
Back
Top Bottom