Kuna ubaya kutoa nywele za katikati ya makalio, katika ule mfereji wote?

kwa upande wangu mimi mwanamke,mwanaume kuzinyoa ni usafi tu hasa katika miji ya joto mana inapelekea baadhi ya wanaume kutoa harufu ya uvundo na mtu akiwa anazitoa haina maana kuwa ana tabia mbaya na wengi hapa wanajidai hawazitoi ilihali sio kweli.... sometimes tuache unafik kidogo
 
Sivipendi hvyo vinywele kabisa kwanza vinaleta kaharufu ila sasa mtihani ni namna ya kuviondoa cjui unakaa style gani kila nikijaribu naona kero, huwa navitoa hata kwa mwaka mara moja

Tumia moto wa kibatali au mshumaa kuzichoma,

Hila wewe ni me au ke??
 
Nakushauri usiznyoe mkuu..ukiznyoa ztaota nyingi zaidi thn itakuwa kero kwako....
Ukiamua kunyoa tumia mkas zkate juu juu tu...though yakiwa mengi sana ukikata gogo zitachafuka na gogo thn itakuwa easy kwako kupata magonjwa

Acha uongo wako, et zinachafuka!! Kwani ww hutawazi kwa maji??

Nafadhahika nikiona wanaume wanataka kuzinyo hizi daah!! ‍♂️

Ila kama unataka kuzinyoa tumia moto wa kibatali au mshumaa au utafute mnyoaji akusahidie kukunyoa. Biashara imepamba moto
 
Back
Top Bottom