Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,891
- 155,893
- Thread starter
- #21
Madhara ya kufungia watoto wa kiume ni hatari. Let them explore and discover the worldWorry not...let the boy go to India, kuna vingi vya kuexplore kule, am sure atarudi akiwa na mtazamo tofauti!
Ila kuna kitu cha hatari nakihisi hapo, inawezekana mnamfungia sana huyo mtoto wa kiume mpaka anaona ndio kafika hapo na hakuna cha kuexplore huko nje...si tabia nzuri kufungia watoto, hasa wa kiume!