Kuna tofauti yeyote hapa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna tofauti yeyote hapa?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by ngoshwe, May 28, 2010.

 1. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #1
  May 28, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Ikiwa mtu anapenda "kuingia au kuingiliwa" kinyume cha maumbile (hata kama ni katika mapenzi ya jinsia mbili tofauti yaani ya mwanamume na mwanamke), na ikiwa ushoga nao ni mchezo unaohusisha kuingiliana kwa staili hiyo hiyo na kutumia kiungo kinachofanana kwa mahudhui/majukumu, Je, kuna tofauti yoyote kati ya aina hii ya watu??.
   
 2. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #2
  May 28, 2010
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hilo sio swali. shida yako kuuliza swali hili ni nini? ungeenda moja kwa moja kwenye jibu...au la, upo moja kati ya hayo mawili sasa unatafuta support watu wakusapoti. kwa kifupi, sodomy, ni mjumuisho wa vitu vingi, kuanzia mwanamme kuingiliwa na mwanaume mwenzie, mwanamke kuingiliwa kinyume na maumile, mwanamke kwa mwanamke yaani wasagaji, mapenzi ya mdomo yaani kulamba u.chi wa mwanamke au mwanaume ili kumwamsha etc. hili la oral sex wengi hawatakubali kwasababu asilimia ya watu wengi wanafanya hata humu ndani ya jf, si kwasababu ni utamaduni wetu bali kwasababu wameona kwenye pono. lakini ukweli uko palepale, ni dhambi.....na hakika inakimbiza hata nguvu za Mungu katika maisha yako kwasababu Mungu hachangamani na uchafu.
   
 3. Mpeni sifa Yesu

  Mpeni sifa Yesu JF-Expert Member

  #3
  May 28, 2010
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  mwana wa mungu NAFIKIRI ALIKUWA ANATAKA KUELIMISHA JAMII KWA UPANDE FULANI KAMA NIMEMWELEWA, nitamsaidia kujibu hili swali...umejibu vizuri pia, umesema kweli. unajua dunia hii imeisha na uovu wake umefikia kiwango cha sodoma na gomorah, lakini kwasababu watu wameshazoea kuishi katika uovu, uovu umekuwa ni desturi ya watu na si rahisi kuacha kwasababu imekuwa part of their life. kwa mtu aliyeokoka na kujazwa Roho Mtakatifu, hauna haja ya kuuliza maswali kama haya, Roho mwenyewe atakudhihirishia kuwa icho kitu ni mwiko, tena mwiko mkali. KUFANYA MAPENZI NA MWANAMKE KINYUME NA MAUMBILE NI DHAMBI MBELE ZA MUNGU, NENDENI MSOME WARUMI 1:26 NA 27. Bahati mbaya hapa ninayo Bible ya kiingereza pekee online. ORAL SEX, ni dhambi pamoja na kwamba watu wanapenda...tatizo la mambo ambayo ni kinyume na mapenzi ya Mungu, shetani huwa anayafanya mazuri na ya kuvutia na kupendeza, na kama hajampa Yesu maisha akushindie, wakati mwingine ni vigumu kuyashinda kama ulizoea, hivyo unakuwa unaishi kwenye barabara ya kwenda motoni, unasubiria tu kutumbukizwa kwenye ziwa la moto pamoja na shetani.

  nasema hivi kwasababu watu wengi waliozoea oral sex, ambayo ni dhambi, ni ngumu kuacha. kwa mtu wa Mungu, kama alivyosema jamaa, the moment you do it, UNANAJISI KINYWA CHAKO, NA ROHO YAKO INAANZA KUNAJISIKA PALEPALE...ROHO MTAKATIFU ATAONDOKA NA UTAKAA MPWEKE. wale wasiomjua Roho mtakatifu au wasioamini kujazwa na Roho mt. hawataelewa naongelea nini...nawakaribisha muokoke, kuna raha ya ajabu moyoni, furaha na amani vyapatikana kwa Yesu, yeye ni Mfalme wa amani, Mungu mwenye nguvu, baba wa milele, ataleta furaha ya kudumu moyoni mwako hata kama umeachwa, umetengwa, umekataliwa, una roho ya kukataliwa, u mjane, u yatima, una shida yoyote ile, Mungu atakupokea na kamwe hatakutupa. someni hapa chini.

  ROMANS 1:26, 27.......

  26 For this cause God gave them up unto vile affections: for even their women did change the natural use into that which is against nature:

  27 And likewise also the men, leaving the natural use of the woman, burned in their lust one toward another; men with men working that which is unseemly, and receiving in themselves that recompence of their error which was meet.

  And even as they did not like to retain God in their knowledge, God gave them over to a reprobate mind, to do those things which are not convenient;

  Being filled with all unrighteousness, fornication, wickedness, covetousness, maliciousness; full of envy, murder, debate, deceit, malignity; whisperers, Backbiters, haters of God, despiteful, proud, boasters, inventors of evil things, disobedient to parents,
   
Loading...