Kuna tofauti ya Machinga (matching Guys) na wahuni walio kwenye hifadhi ya barabara

hyassin92

JF-Expert Member
Oct 4, 2017
583
631
Nashangaa sana watu wanaobeza juhudi za serikali kuwatoa wahuni waliokuwa katika hifadhi ya barabara kwa kujifanya machinga, hali ya kuwa machinga ni watu wanaotembeza vitu.

Wale ni wafanya biashara wasiolipa kodi, technical ni wajanja janja tu, ukiende miji iliyoendeelea huwezi kuta watu wako kwenye hifadhi ya barabara.
 
Back
Top Bottom