fundi msati
JF-Expert Member
- Aug 22, 2013
- 219
- 92
Kwanza nimshukuru kwa kutuweka hai, ndugu zangu leo naomba tena msaada wenu. mnijuze maana halisi navitu vinavyo pelekea kutofautisha kati ya Kb na Mb nauliza haya kutokana nakitu nilicho kua naamini juu ya swala hili kunitatiza.
Marazote nilipokua nayaona maneno hayo nilipata jibu moja tu kua inatoa maana ya ukubwa wa kitu husika lakini nilipo angalia nyimbo mbili za 20% yanini malumbano na niwe chini yao. nanyimbo mbili za samir kinyulinyuli na nyororo. nikauangalia miss-pain-apple wa ally kiba pamoja na kitorondo wa diamond.
msingi wakile nilichokua naamini YANINI MALUMBANO 5.0 mb dk 5:30
NIWE CHINI YAO 3.3 mb dk 3:41
MISSPAIN APPLE 982.6 kb lakini ina dk 4:12
KITORONDO 938 kb una dk 4:00
KINYULINYULI 8.0 mb ila wenyewe una dk 3:31 tu
wapendwa naomba mchanganuo wenu na kama kuna aitaji kujua kama mimi sio mbaya akiongeza swali ili wataalam wa haya wakileta majibu tupate faida yenye kutimia