Kb = Kilobytes
mb = megabytes
bytes 1000 = 1 kb
kilobytes 1000 = 1 mb
mb 1000 = 1 gb
mfumo WA kompyuta (kitu chochote cha data mfano cm) unafanya kazi ktk bits,
kwa hivyo bits zinapokuwa nyingi kwenye kitu, ndo ubora hicho kitu huongezeka
Mi napata shida kwenye;-
Ram, Rom, Chipset na prosessor maana yake na jinsi zinavyofanyakazi
tofauti inakuwepo kama utazipiga kwenye simu hutasikia tofauti, ila kwenye spika za kutosha lazima yenye kb ikolome.!
Mmmmh kweli akina Mulugo wamevuruga kabisa elimu ya Tanzania. Tumieni google basi kupunguza ujinga kabla hujarusha mada yoyote humu maana maswali hayo ni ya darasa la 3 C au D. Kwa hiyo we KB na MB ulijua ni nini before?
Kuwa honest zinatofautiana kwa figure ya 1024. Ndivo darasani tulivofundishwa.
1 MB = 1024KBs
1GB = 1024MBs
Kb = Kilobytes
mb = megabytes
bytes 1000 = 1 kb
kilobytes 1000 = 1 mb
mb 1000 = 1 gb
mfumo WA kompyuta (kitu chochote cha data mfano cm) unafanya kazi ktk bits,
kwa hivyo bits zinapokuwa nyingi kwenye kitu, ndo ubora hicho kitu huongezeka
thanks mkuusamahani naomba nikurekebishe kidogo.kitaalamu zaidi hizi unit ziko kama ifuatavyo na sio kama ulivoeleza.
Units of Computer Memory Measurements:
1 Bit = Binary Digit
8 Bits = 1 Byte
1024 Bytes = 1 KB (Kilo Byte)
1024 KB = 1 MB (Mega Byte)
1024 MB = 1 GB(Giga Byte)
1024 GB = 1 TB(Terra Byte)
1024 TB = 1 PB(Peta Byte)
1024 PB = 1 EB(Exa Byte)
1024 EB = 1 ZB(Zetta Byte)
1024 ZB = 1 YB (Yotta Byte)
1024 YB = 1 (Bronto Byte)
1024 Brontobyte = 1 (Geop Byte)
Geop Byte is The Highest Memory Measurement Unit!!!
Kuwa honest zinatofautiana kwa figure ya 1024. Ndivo darasani tulivofundishwa.
1 MB = 1024KBs
1GB = 1024MBs