Kuna tofauti gani kati ya BAVICHA waliokwenda kumuombea Mbowe Kanisani na Gwajima aliyeweka video ya Mawaziri kanisani?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,959
141,956
Bavicha walienda Kanisa Katoliki kumuombea mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe ambaye yuko gerezani lakini baadhi yao walikamatwa na vyombo vya usalama kwa kuleta usumbufu " Ibadani"

Leo askofu Gwajima ameweka video Kanisani inayowaonyesha mawaziri wa serikali ya JMT wakipiga nyungu huku wakipinga chanjo na akawashambulia sana tena katikati ya " ibada"

Je, kuna tofauti yoyote kati ya usumbufu ulioletwa na Bavicha na huu wa askofu Gwajima?

Mungu ni mwema wakati wote!
 
Back
Top Bottom