Kuna TIGER ngapi hapa kwa hii picha.

Kuna TIGER ngapi hapa kwa hii picha.

Watu wanatoka nduki

Mkuu jana niliweka swali eti mtu wa kwanza tu amejibu AKAPATA mpaka nkahisi wamechungulia karatasi ya mwalimu ya maswali nini?

Waliniotea sana jana asee lakini leo kama unavyosema kuwa watu wanatoka na hata wee mwenyewe pia umetoka nduki heh heh.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu umekosa japo umeonesha vizuri kwa mfano nadhani mfano wako utakuongoza vizuri.

Hebu anzia kwenye T ya kati halaf nenda kulia au kushoto then shuka chini au panda juu halaf niambie haisomeki TIGER ?.

inasomeka lkn sio ktk mstari ulonyooka...I thought ukifanya puzzle unatakiwa usome in one line usipeleke zigzag lol!!
 
inasomeka lkn sio ktk mstari ulonyooka...I thought ukifanya puzzle unatakiwa usome in one line usipeleke zigzag lol!!

Hahahaaa wanafunzi wa leo mnamfundisha mpaka mwalimu asee,well..........unaweza ukasoma kwa style yoyote lakini isiwe diagonally gorgeousmimi .
 
Hahahaaa wanafunzi wa leo mnamfundisha mpaka mwalimu asee,well..........unaweza ukasoma kwa style yoyote lakini isiwe diagonally gorgeousmimi .

ha ha ha hio bana itakuwa imepinda kisha imenyooka haitokuwa sawa bana diagonally inawezekana lkn hapo hakuna au?
 
ha ha ha hio bana itakuwa imepinda kisha imenyooka haitokuwa sawa bana diagonally inawezekana lkn hapo hakuna au?

Yeah hamna mkuu ila inatakiwa kusomeka hivyo mwaya left,right,up & down mwaya,TRY AGAIN G.
 
Back
Top Bottom