kuna tatizo mjamzito kula viporo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kuna tatizo mjamzito kula viporo?

Discussion in 'JF Doctor' started by Chokochoko, May 22, 2012.

 1. Chokochoko

  Chokochoko JF-Expert Member

  #1
  May 22, 2012
  Joined: Oct 15, 2011
  Messages: 432
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  hello jf doctors. Mimi ni mjamzito nasikia kwa watu eti wajawazito hawaruhusiwi kula kiporo, je kama nikweli ukila unapata
  madhara gani?
  Tatizo lingine najitahidi kula matunda ipasavyo ila mbona napata choo kigumu sana?
  Halafu choo napata baada ya siku 2 hadi 3 na bado kina kua kidichuu cha kushangaza nakula chakula kingi tuu nash
  iba ndii na maji nakunywa na juice nakunya, sasa sielewi hili ni tatizo au ni kawaida? Jamani naombeni msaada kwani
  niko njia panda na wasiwasi kama ni tatizo lisije likawa kubwa
   
 2. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #2
  May 24, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Mjamzito unatakiwa upate choo cha kutosha tena kilaini...tafuta matunda...hasa papai na parachichi.....kula viporo wanasema eti ukishajifungua utakuwa unatoa choo kingi sana.......
   
Loading...