Du upotosha mkubwa!
Hizi taarifa ukiziona zimeandikwa kama hujui kuquestion pumba na mchele unapata chuki za bure!.
Mkuu unapotosha umma hamna kitu kama hicho hapa chato.
Usilete siasa za kichonganishi. Andika hata maisha ya familia yako unavyosumbuana na mkeo kila siku.ππππ