Kuna tatizo kuwa serious?

Kuna tatizo kuwa serious?

Hii kitu siyo utani wajameni,inatokea sana,alivyo sema mleta mada.Rafiki yangu watoto walimwibia mbegu za Maindi wakaipanda hovyo ikaota kama kichaka hawakushuhulika nayo ata kwa kupalilia ila ilizaa mno maindi ya mfano.
Mbegu ileile kapanda shambani huko ni kituko licha ya uduma mbolea Mara 3 za kisasa.+ maombi tangu mbegu

Mleta mada nakuunga mkono 100% kuna tatizo hatulifahamu .

Kingine tulipo kuwa wadogo tulikuwa tunapenda sana safari za kwa Bibi kwani kulikuwa na umbali kidogo na raha yake ilikamilishwa kwa vitu kama Miwa ya kila aina mirefu utakula utabeba utakavyo,Magimbi ,
Matunda kwa Bibi,Ukienda sasa hamna chochote vipo vialama vya kisiki hamna ata vya dawa.
 
Back
Top Bottom