Kuna tatizo kuwa serious?

Kuna tatizo kuwa serious?

NITATOA USHUHUDA

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2017
Posts
757
Reaction score
730
MWANANGU ALICHUKUA MBEGU ZA MAHINDI AKAZIMWAGA SHAMBANI,ZILIOTA NA KUTOA MAVUNO YAKUTOSHA.

ILA NILIPOANZA KILIMO NA KUFUATA UTARATIBU WA KISAYANSI:MBOLEA BORA,ARDHI NA MBEGU BORA MAGONJWA YAMEKUWA YAKIATHIRI MAZAO YANGU.

HIVI NI KWANINI KITU NIKIKIFANYA KWA USERIOUS MKUBWA KINANISUMBUA?
 
Unamwita Mwenyezi Mungu katika mipango yako au huwa unaamini akili yako tu.

Huenda Mwenyezi Mungu anataka kukuonesha kwamba yeye ndiye muweza wa yote kuliko wanadamu ndiyo maana anampa aliye wakawaida unayemdharau wewe kwa macho yako ya kibinadamu. Kila mmoja wetu Mungu kampa kitu cha thamani ndani yake hivyo alivyo hivyo tujifunze kuheshimu wenzetu na kushirikiana nao ili kuuona Utukufu wa Mungu katika Viumbe wake.

Ndiyo maana Wazungu wanaamini katika "Team Work". Basi ndugu nikushauri tu kwamba Huenda Riziki yako ipo katika kushirikiana na Wengine ambao unawaona hawako serious kama huyo mtoto wako uliyemchukulia poa. Hivyo jaribu njia hiyo huenda utaona tofauti pia ukumbuke kutupa mrejesho.
 
Nilijua ni mimi tokumbe tuko wengi yani nikisema
Nitafute hela nifanye kitu cha maana sipati ng'o lakini nikitaka kwenda kufanya vitu visivyokua na faida naipata fasta asa ninachokifanyaga najisemea ngoja nitafute hela nikalewe nikiipata nabadilisha mawazo hivyo hivyo mambo yanaenda
 
da kweli,natumia huu mtindo hata kwenye kubet ,najisemea nikipata pesa nafanyia upumbavu ndiyo nashinda
 
MWANANGU ALICHUKUA MBEGU ZA MAHINDI AKAZIMWAGA SHAMBANI,ZILIOTA NA KUTOA MAVUNO YAKUTOSHA.

ILA NILIPOANZA KILIMO NA KUFUATA UTARATIBU WA KISAYANSI:MBOLEA BORA,ARDHI NA MBEGU BORA MAGONJWA YAMEKUWA YAKIATHIRI MAZAO YANGU.

HIVI NI KWANINI KITU NIKIKIFANYA KWA USERIOUS MKUBWA KINANISUMBUA?
Tatizo lako ni IMANI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilijua ni mimi tokumbe tuko wengi yani nikisema
Nitafute hela nifanye kitu cha maana sipati ng'o lakini nikitaka kwenda kufanya vitu visivyokua na faida naipata fasta asa ninachokifanyaga najisemea ngoja nitafute hela nikalewe nikiipata nabadilisha mawazo hivyo hivyo mambo yanaenda
👍
 
Back
Top Bottom