Kuna tatizo gani katika hii picha?

Kuna tatizo gani katika hii picha?

Indume Yene

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
2,968
Reaction score
727
Dada yetu yuko proud kuwa Mtanzania na kutuwakilisha katika anga zingine. Nimeangalia hii picha nikaona kama kuna kasoro. Je wewe unaona kuna kasoro gani katika hii picha?

ZG279_0010.jpg
 
****in foto shopu. Porn star

Maimai unaishi sayari gani?
Huyu ni dada yetu aitwaye Susan Mashibe Mkurugenzi wa Tanzanite Jet Services. Tangu lini akawa porn star? Unatakiwa kumuomba radhi dada yetu kwa kumchafulia jina lake.
Naelewa kuwa bado ungali mgeni hapa JF ila nakushauri utafakari kabla hujafakamia keyboard.
 
MMMMH kitambulisho kakigeuza sasa sijui kasahau au ndio fashion
ZG279_0010.jpg
[/QUOTE]
 
Huyu sijui maimai toka asikie neno photoshop basi, kila akionacho mbele yake anakiita photoshop.
Hata hivyo kasoro katika picha hii iko kwenye kitambulisho. Kimegeuzwa.
 
haya mambo ya ku copy and ku paste picha za watu kutoka kwenye blogs nyingine na kuzipa titles za kipuuzi hapa JF, itabidi kwa kweli hili jambo ma moderator wa JF mlifanyie kazi.
tuambie ndug indume yene, picha hii ina kasoro gani kama sio uzandiki wako, wacha hivyo bwana.
threads za kugang'aniza hazikufai
 
chekiii hapo kwenye id yake[kitambulisho]kamaa kakigeuzaaa so jinaa lake alielewekiiii
 
Back
Top Bottom