Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,696
- 11,297
Kwa ajili ya kurahisisha mambo au kwa ajili ya kufuatilia tu mkopo ulipofikia?Siku zote hakikisha loan officer una namba yake.
Hili la kuanza kukata rejesho kabla ya kupata mkopo linastua kidogo.Tena nimeona watu kadhaa wanalalamikaLabda wana liquidity problems Mkuu STUKA. Wanaanza kukata watu ambao hawajapata mikopo yao huo ni WIZI!
Kwa ajili ya kurahisisha mambo au kwa ajili ya kufuatilia tu mkopo ulipofikia?
Okey sawa nimekupata,yap nasikia kuna percent loan officer anapata anapowezesha mtu kukopa.Kufuatilia mkopo wapo, nadhani unajua anapata commision kwa kila mkopo unao kamilika, so anakuona mtu muhimu sana.
Hutakiwi kumpa hata cent 5.
Hili la kuanza kukata rejesho kabla ya kupata mkopo linastua kidogo.Tena nimeona watu kadhaa wanalalamika
Ndugu yanyu wenyewe wana kitu kinaitwa system. Kila mwenye kutaka mkopo bila kupitia system file litakaa haliendi popote. Kila ukienda utambiwa leo system haifanyi kesho system haipo basi shida tu. Watu wazima mmenielewa. Jitume tu kuitia charge system mambo yako yaende😏😏Kufuatilia mkopo wapo, nadhani unajua anapata commision kwa kila mkopo unao kamilika.. so anakuona mtu muhimu sana.
Hutakiwi kumpa hata cent 5.
Haipendezi hata kidogoHili la kuanza kukata rejesho kabla ya kupata mkopo linastua kidogo.Tena nimeona watu kadhaa wanalalamika
Unataka useme CRDB nao chaliiiiiKuna mbumbumbu hadi leo hawajua kuwa Tanzania ina matatizo makubwa ya uchumi kiasi kwamba makampuni pamoja na mabank yanakufa.Sasa hivi makampuni ya simu nayo yataanza kufa.
Kwenye top-up wanaiba kwelikweliHawa jamaa ni wezi, hasa kwenye kutop up