Kuna software unaitafuta bila mafanikio??

Kuna software unaitafuta bila mafanikio??

Chloe O'brian

Member
Joined
Dec 22, 2010
Posts
41
Reaction score
10
TUNAZO SOFTWARE MBALI MBALI AMBAZO TUNAUZA, KWA ANAYEHITAJI ANI-PM:

- ArcGIS DESKTOP 9.2
-ORACLE 11g ENTREPRISE EDITION
-CINEMA 4D v12
-PINACLE STUDIO 14 HD
-AUTODESK AUTOCAD V2012 MULTI WIN64
-SPSS 17
-ADOBE CS5 MASTER COLLECTION (PRODUCT ZOTE ZA ADOBE CS5)

NA NYINGINE NYINGI SANA, PIA ZIPO VIDEO KARIBIA ZOTE ZA TECHNOLOGY MBALI MBALI KUTOKA LYINDA NA VTC

WOTE MNAKARIBISHWA.......
 
Hii ingependeza zaidi kule kwenye matangazo ya biashara.
Huku kwenye jukwaa letu tunapeana maujanja na links za kupata na kuchakachua hizo software
 
Hivi kuna mtu aliye member wa jf bado tu ananunu software?
Mimi hapa kwa software hii nimeshindwa kabisa kupata keys zake baada ya kuisha muda wake wa trial. Nimejaribu kwenye torrents sikufanikiwa baada ya kukutana uso kwa uso na mabango ya akina Visa card na wezake! Software yenyewe ni "Novalogic's MIG-29 Fulcrum 1.01.00.14"
 
TUNAZO SOFTWARE MBALI MBALI AMBAZO TUNAUZA, KWA ANAYEHITAJI ANI-PM:

- ArcGIS DESKTOP 9.2
-ORACLE 11g ENTREPRISE EDITION
-CINEMA 4D v12
-PINACLE STUDIO 14 HD
-AUTODESK AUTOCAD V2012 MULTI WIN64
-SPSS 17
-ADOBE CS5 MASTER COLLECTION (PRODUCT ZOTE ZA ADOBE CS5)

NA NYINGINE NYINGI SANA, PIA ZIPO VIDEO KARIBIA ZOTE ZA TECHNOLOGY MBALI MBALI KUTOKA LYINDA NA VTC

WOTE MNAKARIBISHWA.......

Unachofanya wewe ni sawa sawa kabisa unaijua nyumba ya Billgates au Steve jobs alafu unaenda unawaambia unuza CD ya windows au Ipad kwa bei nafuu

Nakushauri kaombe Blog kama hizi wakuweke tangazo lako

Nakuhakikishia hutakosa wateja.

hapa watu wanatundika thread kama hii https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/141425-autodesk-autocad-2012-a.html

Good luck
 
Mimi hapa kwa software hii nimeshindwa kabisa kupata keys zake baada ya kuisha muda wake wa trial. Nimejaribu kwenye torrents sikufanikiwa baada ya kukutana uso kwa uso na mabango ya akina Visa card na wezake! Software yenyewe ni "Novalogic's MIG-29 Fulcrum 1.01.00.14"
inafanya kaz gan?
 
TUNAZO SOFTWARE MBALI MBALI AMBAZO TUNAUZA, KWA ANAYEHITAJI ANI-PM:- ArcGIS DESKTOP 9.2-ORACLE 11g ENTREPRISE EDITION-CINEMA 4D v12-PINACLE STUDIO 14 HD-AUTODESK AUTOCAD V2012 MULTI WIN64-SPSS 17-ADOBE CS5 MASTER COLLECTION (PRODUCT ZOTE ZA ADOBE CS5)NA NYINGINE NYINGI SANA, PIA ZIPO VIDEO KARIBIA ZOTE ZA TECHNOLOGY MBALI MBALI KUTOKA LYINDA NA VTCWOTE MNAKARIBISHWA.......
we wa wapi?ever heard of torrents?4shared, filecrop,na masite kibao tu ya kupakua masoftware? Move this thread plz
 
TUNAZO SOFTWARE MBALI MBALI AMBAZO TUNAUZA, KWA ANAYEHITAJI ANI-PM:

- ArcGIS DESKTOP 9.2
-ORACLE 11g ENTREPRISE EDITION
-CINEMA 4D v12
-PINACLE STUDIO 14 HD
-AUTODESK AUTOCAD V2012 MULTI WIN64
-SPSS 17
-ADOBE CS5 MASTER COLLECTION (PRODUCT ZOTE ZA ADOBE CS5)

NA NYINGINE NYINGI SANA, PIA ZIPO VIDEO KARIBIA ZOTE ZA TECHNOLOGY MBALI MBALI KUTOKA LYINDA NA VTC

WOTE MNAKARIBISHWA.......

Kama unauza Original software poa; nipe bei ya SolidWorks 2012. Lakini kama unauza pirated hauna maana, yapo kibao tu online buuure!
 
muacheni kama anauza original mbona kkoo na posta zipo kibao?? Hujui kuna wajanja wanaishi mjini kwa ujinga wa wenzao??
 
Tatizo wabongo hamjazoea kununua spoftware, ukiambiwa software zinauzwa unajua ni pirated tu.
 
Tatizo wabongo hamjazoea kununua spoftware, ukiambiwa software zinauzwa unajua ni pirated tu.
hata kama ni pirated weye uza tu. ujue pia utawasaidia akina sisi , pangu pakavu nitilie mchuzi, maana hatuna internet ya maana. hata kama kudownload bure , 1GB ni buku tano.(kama tutatumia 400mb za 2500 za airtel bharti)
 
Aisee naomba uwaone JF, kwa hayo matangazo ya biashara,., hapa tunataka vitu vya kuanikwa au hujaxoma motto wa JF
"where we dare TO TALK OPENLY"
 
Back
Top Bottom