Kuna siri ipi katika mwaka 1947

Mimi ningekujibu. Lakini kwanza toa nembo ya NAZI kwenye avatar yako.
 
AK47, ni ya mwaka 1947 history yake hadi kesho
 
ubwabwa huu ni mtamu sana,unanikumbusha mbaalii mwaka 47,labda kwasababu kuliundwamfumo mpya wa kutawalana duniani baada ya vita kuu ya pili
 
ahahaaaa.....aiseee kumbe huu mwaka una mambo mengi aiseee maana kila mtu ana sema lake.

 
Na Ak47 ilitengenezwa mwaka 1947 na ilitengenezwa na Avtomat Kalashnikova
 
Grandpa AK-47 was born in russia
 
umenifirisi mkuu....
hiyo ndio sababu ya msemo huo maarufu....
 
Mengine yote ni bla bla tu, hii ndo chanzo cha msemo wa 47. Big up Kibukila.
 
Hapo umenena
 
Iowa, World War II Bonus Case Files, 1947-1954
 
Sio Kuhusu Bunduki hata kidodgo. Jamani Kuna Tangazo RTD( jamani mfanyakazi wa TBC hebvu tewekee Tangazo hilo vijana walisikie tena lilikuwa na ubunifu wa hali ya juu) yaani watu wawili walikuwa wanaongea mwenzie ndio akamwambia unanikumbusha mwaka 47( arobainin na sabaaa) akimaanisha miaka ya zamani. Hivyo ukiwa na mbambo ya kiizamani ndio unaambiwa mambo ya kimwaka 47. Jamani TBC tukumbusheni ili vijaba wajifunze na ubunifu wa Zamanai - a.ka. mwaka 47.
 
Kuna tangazo la biashara ambalo lilikuwa kwenye TV na redio miaka ya nyuma kuna neno walikuwa wanalitumia kuonyesha kwamba usiwe mtu wa mwaka 1947 ila uwe wa kisasa, ndiohapo msemo ukaanzia hapo
Nikusahihishe lilikuwa kwenye Radio hata TV zilikuwa hazijaanza Tanzania! Jamani lirudiwe hilo Tangazo Zuri saaaana! Sasa wact kabisa lionyeshwe kwenye TV.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…