Sasa mwanaume ana miaka 40 anaoa binti wa miaka 16-20 unategemea nini mkuu?
Pia kisayansi life span ya wanawake ni kubwa kuliko wanaume. Hii iko hata nchi zilizoendelea.Sasa mwanaume ana miaka 40 anaoa binti wa miaka 16-20 unategemea nini mkuu?
Ila binadamu 🤣🤣🤣🤣Wanawake Huwa wanaomba Dua kisirisiri mwanaume afe haraka ili ainjoy maisha na kweli unakufa
Jamani😃😂😂😂Wanawake Huwa wanaomba Dua kisirisiri mwanaume afe haraka ili ainjoy maisha na kweli unakufa
Mnataka tuoe wazee wenzetu, halafu tukizeeka tutalelewa na nani? Jamani na sisi tunapenda matunzo.Sasa mwanaume ana miaka 40 anaoa binti wa miaka 16-20 unategemea nini mkuu?
Ni kina nani hao wanaosema?za vijiweni ni kwamba wanasema wanaume hutumia nguvu nyingi kupambana na maisha na wanachakaa mapema. Kupiga ishu sana nako kunatajwa, pia wanasema wanawake wana ujazo na akiba ya chakula miilini mwao. wanaendelea kusema mkifungiwa msipewe chakula na maji kwa muda mrefu atakayetangulia kufa ni mwanaume kwa kuwa hana nyama nyingi mwilini mwake. Wanasema makalio na mapaja ya mwanamke yana hazina nyingi ya mafuta na nyama za kutosha mpaka ziishe akondeane ni muda mrefu atakua ameishi
Sasa huoni ndio utamuacha akiwa kijana zaidi!!Ndiyo maana mwanaume anatakiwa aoe mwanamke alomzidi miaka kuanzia 5..
Baada ya kufa wanabaki na majuto nasio Ku enjoy maisha tena.Wanawake Huwa wanaomba Dua kisirisiri mwanaume afe haraka ili ainjoy maisha na kweli unakufa
Sasa ndio mnazeeka kabla yetu na kufa vile vile😂😂Mnataka tuoe wazee wenzetu, halafu tukizeeka tutalelewa na nani? Jamani na sisi tunapenda matunzo.