Mkuu wenye matatizo co wahindi ninyi wenyewe nikuulize kunachama gani cha kutetea maslah ya wafanyakazi kinongozwa na muhindi ndugu zenu wenyew ndiio wanaowaangusha.wshindi mnawacngizia tunashindwa kujua ni kwa nn makampuni mengi utawakuta hawa jamaa ndio mabosi tena hawana utu kabisa katika kusimamia haki za wafanyakazi wao. Serikali iko wapi juu ya waajiri kama hawa tunaoteseka ni sisi wananchi zaidi tupo ndani ya Taifa letu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hicho vyama kazi yao ni kukusanya michango tuu kila mwisho wa mwezi, ukipata tatizo unapambana kimpango wako,Mkuu wenye matatizo co wahindi ninyi wenyewe nikuulize kunachama gani cha kutetea maslah ya wafanyakazi kinongozwa na muhindi ndugu zenu wenyew ndiio wanaowaangusha.wshindi mnawacngizia tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisa vyama vya kutetea haki vipo kimaslahi yao binafsi havina tofaut na vyama vya siasa walanguzi tu..Hicho vyama kazi yao ni kukusanya michango tuu kila mwisho wa mwezi, ukipata tatizo unapambana kimpango wako,
Tena kwa hizi kampuni zetu hata wale uliowakuta yaan senior tatizo likikufika nao wanakausha kimya hivyo unapambana peke yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nipo mwaka wa 4 huu ktk kampuni lakini sijawaona, watu kila siku wanapata matatizo wapo wapo wapo tuuNi kweli kabisa vyama vya kutetea haki vipo kimaslahi yao binafsi havina tofaut na vyama vya siasa walanguzi tu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wenye matatizo co wahindi ninyi wenyewe nikuulize kunachama gani cha kutetea maslah ya wafanyakazi kinongozwa na muhindi ndugu zenu wenyew ndiio wanaowaangusha.wshindi mnawacngizia tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Funguka mkuu nashindwa kuwaelewa hawa watu kwan tabia zao zipo sawaSiri kubwa, na siwez kukwambia
Sent from my iPhone using JamiiForums
nashindwa kujua ni kwa nn makampuni mengi utawakuta hawa jamaa ndio mabosi tena hawana utu kabisa katika kusimamia haki za wafanyakazi wao. Serikali iko wapi juu ya waajiri kama hawa tunaoteseka ni sisi wananchi zaidi tupo ndani ya Taifa letu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Matatizo ya waafrika wengi yana sababishwa na waafirika wenyewe tuache Tabia za kulaumu watu weupe.
Duh..Wahindi ndiyo jami pekee duniani, hakuna nyingine wanaoishi kiunyanyapaa, ni wao tu dunia hii. Wahindi wamegawanyika katika makundi 4 ambayo ni (1) wasioguswa/kushikika (2) matajiri (3) wafanyakazi na (4) mafukara. Kivumbi kinakuja hapa kwa ndugu zetu mafukara. Hawa jamaa wamegawanyika katika makundi 2,000, yaani aliye nafuu kidogo anambagua aliye chini yake na kama umezaliwa katika familia ya kimasikini basi utakufa kimasikini. Yaani kwa ufupi, wahindi kubaguana ni jadi kwao, wanaishi hivyo na pengine asipombagua mtu ajisikii vizuri.