Swali FIKIRISHI .... jibu positive likipatikana naomba uni-tagKwa nini watu wa chadema ( ninaowajua) wanakuwa na emotional attachment na chadema? Naelewaa kushabikia Chama xyz hata mimi naikubali CCM lkn sina emotional attachment na CCM.
Yaani kwa mfano siwezi kukosana na mtu kwa sababu kaisema CCM, lkn watu wa chadema anakuchukia kabisa na kukuona adui fikiria tu wanavyomchumkia Makonda, jiulize sababu ni nini? Ni Mbowe tu hakuna kingine, na wana chuki na Makonda isiyoelezeka kisa Mbowe, sasa ni kwa nini?
Binafsi naweza tu kumchukia Binadamu hivyo kama kanidhuru mimi au ndugu na watu wa karibu lkn siyo eti Mwenyekiti wa Chama.
Ninachomaanisha ni kwamba mtu wa chadema ukiisema chadema ni kama umechoma kisu moyoni mwake, sasa kwa nini wako hivi?
Kwa nini chadema wanatukana, kukebehi wengine lkn ukitaka mkosane iguse chadema au Mbowe!
Hakuna watu ambao hawakubali kukosolewa kama chadema, hawana self critic, sijawahi kusikia hata hapa JF wakijikosoa, wao matatizo yako kwingine tu.
Sasa hii inasabishwa na nini? Kwa nini watu wa chadema wana emotional attachment na chadema?
Na waliotaka kuharibu karatasi za matokeo ya unaibu meya janaWaulize wanaocharanga mapanga kwenye chaguzi, waliomshambulia risasi Lissu, muulize aliyesema anashangaa wakosoaji wa serikali bado wanaendelea kuishi
Haya hawezi kuyaona maana wameua na kujeruhi watu wengi sana hawa sababu ya utofauti wa kisiasa tu, Z,bar 2001 waliua watu wengi sana sabau ya utamu wa madaraka......pumbavu kabisaNa waliotaka kuharibu karatasi za matokeo ya unaibu meya jana
Na Jana bila ukamanda wa Meya Jacob hata huo unaibu Meya wangeupora wapuuzi wakubwa hawa!Na waliotaka kuharibu karatasi za matokeo ya unaibu meya jana
Endapo mjumbe mmoja wa UKAWA angempigia kura mgombea wa CCM .... angeonekanaje?Mtu akijitambua hana haja ya kupigana au kutukana maana ni mapito tu haya na ukiwaza hii ni siasa leo huku kesho kule. Vp Lowassa bila ya Gwajima & Lissu asingekuwa chadema
Muda mwingine tukiacha siasa za chama hata kama hafai au uwezo wake mdogo tunamchagua. Tukiwa makini vyama havitaleta wajinga wajinga (wanaonunuliwa). Jana uchaguzi wa naibu meya namba ilikuwa sawa baina ya UKAWA & MAKINIKIA. Lakini mmoja wa makinikia aliona wakwao hatoshi akampa wa upande wa wanunuliwa hili ni nzuri