Kuna Siku CCM wataikana ile Rasimu ya Katiba...

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,519
86,066
Kwa mwenendo huu wa ukigeugue, Wallah nakwapia kuna siku moja CCM wote wataikana ile rasimu ya Katiba iliyobadilishwa kwa mbwembwe pale Bungeni. Inasikitisha saana sana kuona Watu wale wale wakiwa na sura mbili tofauti kwa wakati mmoja. Inauma sana. CCM ndio adui yetu Mkuu. Ukibisha wewe mbishi.
 

Hiyo imeshapondwa ai ajabu wakasingizia upinzani
 
bila ile rasimu hizo sheria wanazopeleka Bungeni ni kupoteza muda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…