Kuna shida kwenye Jeshi letu

Your browser is not able to display this video.

Hii ndiyo aina ya Polisi wa Tanzania.
 
Kwa kifupi tu, wewe ni moja ya uzao wa laani tulionao Tanzania. Nitakujibu vizuri nikipata time. Jaribu kuficha upumbavu wako. Kimya pia ni Hekima.
 
Majeshi msikate tamaa kwa nyuzi kama hizi zilizozo za ovyo! Kama raia waliamua kufanya uasi dhidi ya wenzao , dhidi ya mali za uma nk. Hawa watu walitarajia ninyi muwachekee ili watimize lengo la kuchoma SGR,bunge nk?
Katika nchi hii hamtaachwa mfanikiwe. Nguvu ni Ile ile mzidi kujichanganya.
 
Kuna shida kwenye ubongo wako!
...
yaani umekaa kabisa unataka majeshi yetu yaache kuulinda umma na UHURU wetu kwa ajili ya kuwadekeza nyie wapuuzi wachache!!!?
 
Kwa kifupi tu, wewe ni moja ya uzao wa laani tulionao Tanzania. Nitakujibu vizuri nikipata time. Jaribu kuficha upumbavu wako. Kimya pia ni Hekima.
Huenda uzai wa laana unatoka kwenye ukoo wako hapa Tanzania, ikitokea kwamba nawe ni Mtanzania. Ni kweli kimya ni hekima. Ungeanza wewe kukaa kimya haya yasingekuwepo.

Mimi nangojea kwa hamu majibu yako 'mazuri'. Kama unadhani unaweza kusema halafu watu wakanyamaza, sema.
 
Kwa sasa EA kuna jeshi moja tu imara na lenye weledi, nalo ni RDF. Waliobaki huwezi walinganisha hata na M23 ambayo ina oganaizesheni nzuri, mafunzo ya hali ya juu pamoja na zana za kisasa.
Unadhani RDF wanaweza kwenda kinyume na Maagizo ya Mr. Slim hata kama ni haramu?
 
Your browser is not able to display this video.

Hongereni kwa hii👆🏾 kazi askari wa Samia.
 
Wanafanya ULINZI na USALAMA wa kitu gani???

Hizo ni MILITIA za wahuni tu
 
Your browser is not able to display this video.

Naona mmemuadhibu kijana kwa kutaka kuchoma SGR na Bunge, kwenye hili mlikuwa makini haswa.
 
Ukishakosa siasa safi kwenye Taifa, Hakuna Sector itabaki Salama, Sio dini, kikimo, Elimu, Jeshi wala Familia.

Woote hao wanarishwa Sera na Sheria zinazotokana na quality ya siasa kwenye jamii
 
We nani kakwambia polisi anaeshambuliwa na mawe huwa anasubiri kuambiwa amri ya kuua? Ukimshambulia kwa mawe hana haja ya kusubiri kupewa amri na yoyote atajipa amri mwenyewe, na ukifanya uhalifu akaja kukudhibiti ukatumia nguvu dhidi yake hivyo hivyo atajipa amri ya kutumia nguvu ikiwezekana kukuua.

Kwahiyo hamna mtu anaewapa amri nenda kavunje duka la mtu na kuharibu mali ya mtu wakukute alafu utajua kuna mtu anawapa amri au wanajiamrisha wenyewe.
 
Unaweza soma tena ulichoandika na kujisikiliza mwenyewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…