Kuna shida kwenye Jeshi letu

Kuna shida kwenye Jeshi letu

Joined
Nov 5, 2025
Posts
81
Reaction score
130
Pamoja na yanayoendelea nchi, nikili kuwa kwenye jeshi letu kuna shida kubwa sana.
Nimekuwa nikijiuliza sana, je tuna jeshi kweli, tuna polisi wenye weledi, au ni vibwengo tu? Unaambiwa kuua na unatii tu.

Kwa mtazamo wa kimataifa, amri inayokwenda kinyume na sheria haipaswi kutekelezwa. Kwa hiyo, si kosa kukataa amri ya mkuu kama amri hiyo ni haramu au inavunja misingi ya utu. Askari au polisi wana wajibu wa kufikiri, kuchuja, na kulinda raia, si kutekeleza kila kitu.

Swali kubwa linabaki: tatizo linaanzia wapi? Je, ni kwenye mchakato wa uajiri (recruitment) ambapo watu wasio na uwezo wa kufikiri kwa kina wanachukuliwa (Machawa) na kuingizwa kwee jeshi letu? Au ni mfumo wa mafunzo na uongozi unaowafinyanga watu kuwa watendaji bila akili zao?

Kwa hali ilivyo, inaonekana kabisa kwamba vyombo vya ulinzi na usalama vimejaa vilaza, watu wasiokuwa na maadili ya kazi wala uwezo wa kubeba majukumu makubwa ya kulinda raia. Ndiyo maana swali hili linaumiza kichwa: je, ni kosa kukataa amri ya mkuu inayokwenda kinyume na sheria? .
Tukubali kwamba, nchi inahitaji reformation kubwa sana, karibu katia kila taasisi.

Kuendelea kuwepo kwa Samia madarakani,ndio ucheleweshaji wa mabadiriko hayo, na nchi yetu itaendelea kuteseka sana. Miezi michache inayokuja, Tanzania itakuwa hali ngumu sana. Kumbuka haya maneno.

Watanzania, hii hali sio shwari, achana na wanaojitoa akili zao, huku wakitumia mgongo wa dini, kwamba watu wanamkataa Samia kisa dini yake, ni sababu za kipuuzi, na ni wapumbavu.

Watanzania wote ni ndugu, haijalishi wewe ni Mkristo au muislam, au kabila lolote, tuwapuuze hawa mapumbavu wanaotaka kuwatenga watanzania.
 
Mnamaliza karatasi bure. JW ni ya kisiasa
 
Watanzania, hii hali sio shwari, achana na wanaojitoa akili zao, huku wakitumia mgongo wa dini, kwamba watu wanamkataa Samia kisa dini yake, ni sababu za kipuuzi, na ni wapumbavu.

Watanzania wote ni ndugu, haijalishi wewe ni Mkristo au muislam, au kabila lolote, tuwapuuze hawa mapumbavu wanaotaka kuwatenga watanzania.
Hapa nimekuelewa vizuri... ngoja mashekhe wa JF waje
 
Kuna uwezekano mkubwa Jeshi likawa linaendeshwa na makada wa aminifu wa Chama Tawala halipo kwa maslahi ya Taifa bali kwa maslahi ya Chama. Zingatia miaka ya nyuma ili ujiunge na Jeshi sifa kuu ilikua ni kadi ya CCM hata kama haujasoma darasa hata Moja. Sasa hao makada bado wapo Jeshini mpaka leo japo mifumo wa uandikashaji umebadilika
 
Kwa sasa EA kuna jeshi moja tu imara na lenye weledi, nalo ni RDF. Waliobaki huwezi walinganisha hata na M23 ambayo ina oganaizesheni nzuri, mafunzo ya hali ya juu pamoja na zana za kisasa.

Mkuu napigana na jeshi la nchi yangu kwa waliyoyafanya...ila JWTZ wakiamua kuingia vita na jeshi la Rwanda tunachukua kale ka nchi ndani ya siku moja tu....
 
Pamoja na yanayoendelea nchi, nikili kuwa kwenye jeshi letu kuna shida kubwa sana.
Nimekuwa nikijiuliza sana, je tuna jeshi kweli, tuna polisi wenye weledi, au ni vibwengo tu? Unaambiwa kuua na unatii tu.

Kwa mtazamo wa kimataifa, amri inayokwenda kinyume na sheria haipaswi kutekelezwa. Kwa hiyo, si kosa kukataa amri ya mkuu kama amri hiyo ni haramu au inavunja misingi ya utu. Askari au polisi wana wajibu wa kufikiri, kuchuja, na kulinda raia, si kutekeleza kila kitu.

Swali kubwa linabaki: tatizo linaanzia wapi? Je, ni kwenye mchakato wa uajiri (recruitment) ambapo watu wasio na uwezo wa kufikiri kwa kina wanachukuliwa (Machawa) na kuingizwa kwee jeshi letu? Au ni mfumo wa mafunzo na uongozi unaowafinyanga watu kuwa watendaji bila akili zao?

Kwa hali ilivyo, inaonekana kabisa kwamba vyombo vya ulinzi na usalama vimejaa vilaza, watu wasiokuwa na maadili ya kazi wala uwezo wa kubeba majukumu makubwa ya kulinda raia. Ndiyo maana swali hili linaumiza kichwa: je, ni kosa kukataa amri ya mkuu inayokwenda kinyume na sheria? .
Tukubali kwamba, nchi inahitaji reformation kubwa sana, karibu katia kila taasisi.

Kuendelea kuwepo kwa Samia madarakani,ndio ucheleweshaji wa mabadiriko hayo, na nchi yetu itaendelea kuteseka sana. Miezi michache inayokuja, Tanzania itakuwa hali ngumu sana. Kumbuka haya maneno.

Watanzania, hii hali sio shwari, achana na wanaojitoa akili zao, huku wakitumia mgongo wa dini, kwamba watu wanamkataa Samia kisa dini yake, ni sababu za kipuuzi, na ni wapumbavu.

Watanzania wote ni ndugu, haijalishi wewe ni Mkristo au muislam, au kabila lolote, tuwapuuze hawa mapumbavu wanaotaka kuwatenga watanzania.
Majeshi yalikuwepo zamani, Sasa hivi yanatumika kama Vyanzo vya Ajira za watoto na ndugu za wakubwa na viongozi.

Siku hizi Vijana wanakwambia ukipata Ajira jeshini (JWTZ, TPF n.k) umelamba Asali ya nyuki wadogo, Sababu majukumu yao ya Sasa ni Kufanya Usafi barabarani, kukimbiakimbia wakiimba, n.k yaani hakuna kazi za msingi.

Jeshini ilikuwa Uzalendo, Watu walikuwa wanaingia mule sababu Uwito (Vocation) & Passion sio kama sasa Jeshi yanatumika kama Vyanzo vya Ajira.

Usitegemee Majeshi yawe na Misingi kama zamani, Ya Sasa yamejazwa na WAOGA, WALAFI, WABINAFSI n.k.

Inapofika muda wa kusimamia Misingi na Majukumu yao kama ilivyo sasa, Wanarusha Taulo kwa Kisingizio Cha Amri ila Ukweli ni Wanaangalia maslahi yao binafsi kitu ambacho ni Kinyume na Misingi ya Majeshi yote.

Lengo kuu la Majeshi ni Kutumikia Taifa, Kufanya kazi Jeshini ni UWITO (Vocation) sio Maslahi (Pesa, mali n.k) kama ilivyo Sasa.
 
Mkuu napigana na jeshi la nchi yangu kwa waliyoyafanya...ila JWTZ wakiamua kuingia vita na jeshi la Rwanda tunachukua kale ka nchi ndani ya siku moja tu....
Mkuu napigana na jeshi la nchi yangu kwa waliyoyafanya...ila JWTZ wakiamua kuingia vita na jeshi la Rwanda tunachukua kale ka nchi ndani ya siku moja tu....
Unaongelea Rwanda Gani hivi kumbe tanzania bado Kuna wajinga kama wewe unaamini jwtz inaweza kupambana na wajukuu wa tall yaani jeshi ambalo linaruhusu raia wake kuuwawa kama kuku limpige rwanda ambayo Kila siku ipo msituni kupambana huku wanamgambo wake tu walioko congo wamewafurumusha juzi hao jwtz na kuyaua kama kuku huko goma na kuyapora siraha aisee mzee embu acha vituko usiwaongelee Rwanda hii ya tall kama unaongelea panya road
 
Kuendelea kuwepo kwa Samia madarakani,ndio ucheleweshaji wa mabadiriko hayo, na nchi yetu itaendelea kuteseka sana.
Kwenye hili wewe sema tu, ila mama haondoki kwasababu mtu hataki awepo. Samia yupo, nawe kafanye kazi ya kukupatia maisha, vinginevyo utajikuta una njaa na umaskini wa kutisha.
Kwa hali ilivyo, inaonekana kabisa kwamba vyombo vya ulinzi na usalama vimejaa vilaza, watu wasiokuwa na maadili ya kazi wala uwezo wa kubeba majukumu makubwa ya kulinda raia.
Haya maandishi yanaonesha wewe ndo kilaza usiyejua nini vyombo vya ulinzi vinafanya. Ulitarajia wakuache uibe, uharibu mali za umma na za watu binafsi na uwaue wao wana wa ulinzi halafu wakuchekee? Waswahili huwa tunasena "ukicha mwana kulia, mwisho utalia wewe. Mkuu lia na uume meno baadae ukajifunze.
 
Mkuu napigana na jeshi la nchi yangu kwa waliyoyafanya...ila JWTZ wakiamua kuingia vita na jeshi la Rwanda tunachukua kale ka nchi ndani ya siku moja tu....
Huko jeshini wamejaa Wachumba.

Tatizo unafananisha la Zamani wale waliomgusa Iddi Amini, la Sasa ni la Kichumba vibaya mno wanachoweza ni kuvimbia Raia mtaani.
 
Pamoja na yanayoendelea nchi, nikili kuwa kwenye jeshi letu kuna shida kubwa sana.
Nimekuwa nikijiuliza sana, je tuna jeshi kweli, tuna polisi wenye weledi, au ni vibwengo tu? Unaambiwa kuua na unatii tu.

Kwa mtazamo wa kimataifa, amri inayokwenda kinyume na sheria haipaswi kutekelezwa. Kwa hiyo, si kosa kukataa amri ya mkuu kama amri hiyo ni haramu au inavunja misingi ya utu. Askari au polisi wana wajibu wa kufikiri, kuchuja, na kulinda raia, si kutekeleza kila kitu.

Swali kubwa linabaki: tatizo linaanzia wapi? Je, ni kwenye mchakato wa uajiri (recruitment) ambapo watu wasio na uwezo wa kufikiri kwa kina wanachukuliwa (Machawa) na kuingizwa kwee jeshi letu? Au ni mfumo wa mafunzo na uongozi unaowafinyanga watu kuwa watendaji bila akili zao?

Kwa hali ilivyo, inaonekana kabisa kwamba vyombo vya ulinzi na usalama vimejaa vilaza, watu wasiokuwa na maadili ya kazi wala uwezo wa kubeba majukumu makubwa ya kulinda raia. Ndiyo maana swali hili linaumiza kichwa: je, ni kosa kukataa amri ya mkuu inayokwenda kinyume na sheria? .
Tukubali kwamba, nchi inahitaji reformation kubwa sana, karibu katia kila taasisi.

Kuendelea kuwepo kwa Samia madarakani,ndio ucheleweshaji wa mabadiriko hayo, na nchi yetu itaendelea kuteseka sana. Miezi michache inayokuja, Tanzania itakuwa hali ngumu sana. Kumbuka haya maneno.

Watanzania, hii hali sio shwari, achana na wanaojitoa akili zao, huku wakitumia mgongo wa dini, kwamba watu wanamkataa Samia kisa dini yake, ni sababu za kipuuzi, na ni wapumbavu.

Watanzania wote ni ndugu, haijalishi wewe ni Mkristo au muislam, au kabila lolote, tuwapuuze hawa mapumbavu wanaotaka kuwatenga watanzania.
Hakuna JESHI hapo.

Hizo ni MILITIAs
 
Nivitie shime Vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama, mliposhikilia kazeni hapo hapo, watu wameshaanza kutoa milio huku baada ya kuvuruga mipango yao. Uzuri kwenye hizo Taasisi hamjaingia kwa kupigiwa kura, ajenda yenu ni moja tu kuhakikisha Ulinzi na Usalama wa Tanzania utakaotupeleka katika nchi yenye amani na umoja. Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom