Kuna shida gani barabara ya Kilwa?

Watakua wanaenda kukagua sijui bandari kwa iyo muwe watulivu
 
Mama anaenda kufungua nchi upande wa kusini, kwahiyo tulia.
 
Mojawapo ya sababu za serikali kuhamia Dodoma ni kuipunguzia Dar mizigo kama hii. Tatizo bado wageni wa kimataifa wanapokelewa Dar badala ya Dodoma. Hicho ndicho chanzo cha tatizo kwa asubuhi ya leo; foleni zisizoisha kila mahali mjini kati.
 
matatizo yanatatuliwa sio kuyakimbia!!!
 
Poleni sana, mnakuaga ba foleni kubwa sana huko...
 
matatizo yanatatuliwa sio kuyakimbia!!!
Ameandika kupunguza siyo kukimbia.

Mji wowote mkuu wa nchi kibiashara lazima upewe hadhi kwa watu wake wawe mbio kila wakati na siyo kuwa blocked, sababu huo muda unapowazuia au kuwachelewesha ndipo nchi inapata hasara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…