Kuna shambilio la kigaidi tena nchini UFARANSA

Kuna shambilio la kigaidi tena nchini UFARANSA

Wauzaji wa silaha ndio wanafadhili haya mashambulizi ili serikali zinunue silaha zao kujilinda. Ni kama mtu anasambaza virus za kompyuta halafu anakuja kukuuzia anti-virus software
 
Umeona mbali mkuu, maisha ya siku hizi biashara imekuwa ikichanganywa na ugaidi wa aina Fulani kupata faida kubwa, kama wali wa mamalishe na amira etc
 
Back
Top Bottom