Kuna serikali ya wanyonge?

Ng'egera

JF-Expert Member
Jun 12, 2013
766
419
Salaam wanajf
Hili jambo huwa naliangalia kisha nashindwa kuelewa.
Serikali nyingi hujinasibu kuwa ni serikaliza wanyonge lakini ukiangalia kwa undani utakuta iko mbali na mnyonge ,yaani utaona taasisi ya kutetea wanawake,Mara haki,Mara watoto sasa najiuliza kama serikali ipo kwa ajili ya wanyonge je hizi taasisi kwanini ziwepo hapa ndipo ninapoamini hakuna serikali ya wanyonge
 
Ukisoma makala mbalimbali na vitabu, serikali lengo kubwa ni kukusanya kodi na kuhakikisha matajiri(wanasiasa) wanaishi bila usumbufu.

Kumbuka matajiri wengi hawalipi kodi, wanajificha chini ya mwamvuli wa siasa, wanajificha chini ya corporation, wanashinikiza serikali kutoa favor za aina mbali mbali kwao

Serikali ni vigumu kutetea maskini
 
Back
Top Bottom