Kuna sababu ya kusubiri 2015?

Kuna sababu ya kusubiri 2015?

Kwa hiyo mnataka kuchukuwa dola kwa nguvu ebu jaribuni ndio mtajua nidhamu ya jeshi letu la wananchi na lile la kulinda nchi.
Kweli ccm hamna aibu!!! Pamoja na ushetani wote huu mnaoufanya, mnataka kuendelea kutawala tu?
mauaji.jpg
 
Kwa hiyo mnataka kuchukuwa dola kwa nguvu ebu jaribuni ndio mtajua nidhamu ya jeshi letu la wananchi na lile la kulinda nchi.

Sema wauza powertiller a.k.a wafanyabiashara wa zana za kilimo, vp kuhusu rupia!
 
Ndg.zangu,katika fikra zangu na za wengi,hasa wanapata uchungu na uendeshwaji wa nchi yetu kamwe hawatasita kuungana na hoja yangu hii,yapo matukio mengi yaliyotokea yakaundiwa tume,hata hivyo tume hizo zimekuwa hazitoi majawabu ya kujitosheleza au hazitoi kabisa,matukio hayo bado yanaendelea hali ngumu na raia wanakufa bila msaada,rais na wasaidizi wake wako kimya na hakuna uwajibikaji,ndugu zangu wana wa nchi hii tutavumilia uhuni huu mpaka lini wakati vifo na taabu zinatukabili kila wakati?hebu tutathimini matukio yote yaliyopita nayajayo halafu tuone kama inawezekana kufanya lolote bila kungoja uchaguzi ujao 2015..Mwenye kumbukumbu ya matukio hayo aweke hapa
 
Ingawaje waswahili wanasema Mambo mazuri hayataki haraka,mi natamani hata sasa uitishwe uchaguzi,laniki tunataka wakimbie wenyewe....mbona bado mkuu wangu hao ni cha mtoto

Hivi kweli kweli unaamini leo hii Slaa sio raisi wa Tanzania kwa kuwa alishindwa kura na JK? Basi subiri 2015 ushangazwe. Chadema lazima watambue wanakabiliana na chama ambacho kinataka kuendelea kuwa madarakani kwa udi na uvumba, hata ikimaanisha raia wafe. Liwe liwalo ndio kauli moto.

Subiri shubiri ya 2015 ndio utajua CCM nani. Zote hizi zinazotokea sasa ni trailer tu, picha yenyewe 2015.
 
Kwa hiyo mnataka kuchukuwa dola kwa nguvu ebu jaribuni ndio mtajua nidhamu ya jeshi letu la wananchi na lile la kulinda nchi.

Jeshi gani, hili linoloua wasiokuwa na hatia kwa unyama kama huu?

523560_459225147450378_360780234_n.jpg
 
View attachment 55050
ARUSHA 2012
View attachment 55051
DAR-CHADEMA SQURE 2012
View attachment 55052
MTWARA MASHUJAA 2012

Sioni sababu ya kusubiri tukiendelea kuibiwa
mpaka 2015 wataacha deni kubwa sana la Taifa.



Watu huwa hamuelewi nakujifunza kutokana na historia , kuchukua nchi sio kwa kikaratasi kile chakutumbukiza kwenye kisanduku, ni zaidi hapo. Kwa maneno haya nadhani utakuwa umetambua nn na maanisha km ww ni GT kweli na akili zinafanya kazi
 
Mnajidanganya hebu mjaribu, Kama hamujui kura katazameni kabuki naona mmumezoea kuua. Mmeua kijana huko singida hamukudai uchunguzi huru. Sasa mmesababisha kifo cha Mwangosi mnajibaraguza na kupigisha kelele kana kwamba hamujui mnachofanya. Ndoto yenu ya kuchukumu nchi kwa nguvu itawatokea puani hebu jaribuni muone.
 
Hivi kweli kweli unaamini leo hii Slaa sio raisi wa Tanzania kwa kuwa alishindwa kura na JK? Basi subiri 2015 ushangazwe. Chadema lazima watambue wanakabiliana na chama ambacho kinataka kuendelea kuwa madarakani kwa udi na uvumba, hata ikimaanisha raia wafe. Liwe liwalo ndio kauli moto.

Subiri shubiri ya 2015 ndio utajua CCM nani. Zote hizi zinazotokea sasa ni trailer tu, picha yenyewe 2015.

Sijui 2015 kama ccm wakifika wakiwa madarakani wataizuia CDM kufanya kampeni?
 
Bahati yao Dr slaa ameshasema kuwa hataki kuingia ikulu kwa kumwaga dam ya mtz.
 
Bahati yao Dr slaa ameshasema kuwa hataki kuingia ikulu kwa kumwaga dam ya mtz.
 
kuwa makini ndugu, hujasikia muuaji wa mwenyekiti wa cdm arumeru amekamatwa na amesema waliomtuma ni akina nani kwa ujira wa 2m?
Wakimzidishia mara 2 na kumuahidi 4m atakutoke huko unakotolea wazo zuri kama hili!

Chama Cha Mauji at work!!
 
Watu huwa hamuelewi nakujifunza kutokana na historia , kuchukua nchi sio kwa kikaratasi kile chakutumbukiza kwenye kisanduku, ni zaidi hapo. Kwa maneno haya nadhani utakuwa umetambua nn na maanisha km ww ni GT kweli na akili zinafanya kazi



Mkuu hapo umeongea neno ccm maisha haitaachia dola kupitia plan (A) ya CDM. Na plan (B) CDM hawaiwezi na wanaikwepa wakati dunia inaona kila kitu wao wanaogopa Sijui Kama tutawaweza ccm Iyo 2015 kwa nidhamu hii ya viongozi wa upinzani
 
Jsrehi gan hilo unaloliongelea ambalo litashinda nguvu ya umma? Kumbuka misri! Kumbuka Luddism na chartism movements kwenye industrial revolution kule british in karne ya 18, nadhan mapaka hapo utakuwa umepata jibu kamili kuhusu nguvu ya umma.

Sikio la kufa halisikii dawa. Hata ukimpa hizo references hazitamsaidia
 
Back
Top Bottom