Kuna risasi zinalia maeneo ya Kona Kimara, Polisi wapambana na jambazi na kukamata gari lake

KATASAN'KAZA

JF-Expert Member
Jul 24, 2013
3,097
1,352
Ngoja nafuatilia kujua shida nini.

================

Nimefuatilia kiasi fulani inaonekana kuna jamaa mmoja jambazi alikuwa maeneo ya Baruti Bahama mama ndiye alikuwa anatafutwa..

Wamemvamia maeneo ya pale kituo cha mafuta cha Puma, alikuwa anaosha gari akatimkia maeneo ya uwanjani, huko ndo wakakutana na wavuta bangi, purukushani zimerushwa kama risasi nane hivi na mabom ya machozi, kuna mmoja wamempiga risasi ya mguu.

Screenshot from 2016-04-06 13:25:23.png


Jambazi kalala mbele, wamepekua gari lake pale, lingine wamesepa nalo. Inaonekana ni big issue maana hata mkubwa mmoja wa polisi katia maguu na VX yake..
 
kumbe, ni mshangao tu watu walikuwa hawjaonana siku nyingi kukutana hapo ndo kishindo kikatoea.
 
Back
Top Bottom