Kuna pombe Serena Hotel inauzwa Millioni 15

prophet_tz

Senior Member
Feb 14, 2022
176
301
Je kuna ukweli wowote juu ya hili pale Serena kuna kinywaji cha bei ghali lakini kwenye hili naona mshkaji kanifunga kamba, eti Serena kinywaji hiki kinauzwa 15m ... kwani kina nini haswa cha ajabu?

Kuna mda nawaza labda nikinywa hii ntalewa milele Au mtasema kwasababu sina pesa ndomana nasema hivi.... lakini hata kama una pesa nyingi kiasigani ndo ununue hiyo pombe kwa 15m?

Eb walevi na wanywaji nipeni uzoefu wenu maana isije ikawa hii ni kamba au na nyie hizi bei ni zakawaida sana

Screenshot_20220404-224646_Twitter.jpg
 
Je kuna ukweli wowote juu ya hili pale Serena kuna kinywaji cha bei gali lakini kwenye hili naona mshakaji kanifunga kamba eti Serena kinywaji hiki kinauzwa 15m ... kwani kina nini haswa cha ajabu? Au mtasema kwasabu sina pesa ndomana nasema ivi .... povu ruksa View attachment 2175910
Hiyo bei ilikuwa kabla ya vita ya Russia na Ukraine haijaanza, sasa hivi bila Milioni 25 hutoboi
 
Je kuna ukweli wowote juu ya hili pale Serena kuna kinywaji cha bei gali lakini kwenye hili naona mshakaji kanifunga kamba eti Serena kinywaji hiki kinauzwa 15m ... kwani kina nini haswa cha ajabu? Au mtasema kwasabu sina pesa ndomana nasema ivi .... povu ruksa View attachment 2175910
Serena ni noma, jamaa yangu aliagiza mishikaki minne, chips na dafu, bili ikaja milioni nane, ikabidi aache prado lake la kichaga akatafute hela maana alikuwa na laki mbili tu mfukoni.

CC Mtambuzi
 
Serena ni noma, jamaa yangu aliagiza mishikaki minne, chips na dafu, bili ikaja milioni nane, ikabidi aache prado lake la kichaga akatafute hela maana alikuwa na laki mbili tu mfukoni.

CC Mtambuzi
Msilete bhabari za uswahilini jamani what's so special with serena tumekaa nje tunajua hoteli za aina hii sio serena. Kwa ukanda wa africa ni pretoria luanda angola na kenya labda ndio utakutana na hizi bei.
 
Hizo stori za zamani sana,nilikuwa na jamaa yangu tunatoka Mozambique kwenda Tanzania ili tukapitie Lilongwe kipindi kile kulikuwa na Mabasi ya Taqwa na Ahmed,basi sababu tuliingia mapema na gari zinaondoka saa 2 ya usiku nikamwambia twende lilongwe hotel ilikuwa maalufu sana kipindi kile.Jamaa aliogopa sana akasema hana hela,nikamwambia usihofu nitakulipia,Tulipofika tulikunywa soda moja moja,jamaa yangu alishangaa sana alijua labda tungeagiza mavyakula
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom