Kuna penzi la kweli bila hizoooo?

Pesa sabuni ya roho .......... Penye udhia/pingamizi penyeza rupia , ila
Pesa inanunua vitabu kakini sio elimu
Pesa inanunua kitanda lakini sio usingizi
Pesa inanunua mademu lakini sio upendo
 
Hahaaaa. Mkuu, hiyo inawezekana, lakini mpaka mitume na manabii wote washuke duniani tuwaone
[emoji15] [emoji15] [emoji15] "mitume na manabii wote washuke" .... basi HAIWEZEKANI
 
Penzi la Kweli Linatoka moyoni kwenye Hela Ni Tamaa Tu...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…