LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,498
- 3,390
Naaaaaaam! MziziMkavu una swali lingine?
Sura 11
zipo 11
Sura 11
Mkubwa Mi cjambo wa afya njema!
Tumepotezana sana Mkubwa ila majaliwa tar 12 mwezi huu nitakuwepo hapo ofisini kwako Mkubwa.
Na mbali ya hapo nitakutafuta hewani Mkubwa wangu.
mkuu mimi49 kwenye7&9 kuna sura umeziacha.
hebu nielekeze zipi hizo au umamaanisha hio ribbon ya huyo bibi
sawa lakini mi simuoni kama usemavyo!hebu nielekeze zipi hizo au umamaanisha hio ribbon ya huyo bibi