assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
- Thread starter
-
- #81
unaandika utumbo halFu unataka uachwe halaf c uende jukwaa la mmalalamiko hp c sehm ykKama ningekuwa mshauri wa Zitto, angeweza kutoka salama katika hili sagga, lakini kwa hawa washauri alionao, ni ndoto ya mchana....Wanamuangamiza maskini Zitto wa watu, nae sasa ashachanganyikiwa hata sijui kama ataweza kuhimili hizi stress.....Namshauri asiwasikilize washauri wake wa zamani
acha ktumika unaongea vitu usivovijua
Ninamini naikindichoninacho amini mbowe. Slaa wao wanaona kuwa kuvunja sheria ndani ya chama kwa mabavu kuwa kumuondowa zito ndio itakuwa suluhisho ya namini ndani yakundi lambowe bado kutatokeya kutokuwelewana kama hali ya ukandamizaji utaendelea kwenye chama namini kipimo cha mtu au uongozi ni kwenye pesa asanteni 2015 siombali
My take:
usaliti unaodaiwa kwa mh zzk ni kete tu inayotumiwa na wakuu wa chama ili kumdhoofisha bado naamin kuna sababu nyingine ambayo inagusa maslahi ya wakuu wake na si muda mrefu kila kitu kitakuwa wazi. Mungu atatenda haki na unafiki wao utawekwa wazi
wamemwaga mboga sasa subiri tuanze kumwaga ugali
acha ktumika unaongea vitu usivovijua
unaandika utumbo halFu unataka uachwe halaf c uende jukwaa la mmalalamiko hp c sehm yk
Zitto haheshimu viongozi wa juu yake kisa anawazidi elimu. Hii haikubariki.