Kuna njama ndani ya CHADEMA

acha ktumika unaongea vitu usivovijua

Anatumika wapi ww? zzk anajua alichokipanda na alichokuwa anakianda dhidi ya chama tumaini la watanzania,aende kuwa mbunge wa kwa tiketi ya chama kingine.USALITI! UNASALITI wanaojitoa maisha! Mungu yupo.Sasa kwisha habari yake.
 
Sababu ni moja tu ubavu na nguvu ya shibuda kukisambaratisha chama ni ndogo sana ukimlinganisha na zitto. Na pia shibuda ni msema hovyo aliyekosa dira wala hana mkakati wowote wa kukisambaratisha chama. Hivyo usaliti wa shibuda angalau unavumilika kuliko ule wa zitto
 
acha ktumika unaongea vitu usivovijua

Unataka niongee unachojua wewe au? Hayo ndo matunda ya unafiki na kiburi. Eti unajiita mwana siasa msomi, unajua wasomi walivo wewe? Natumaini umeshajifunza.
 

Yaani ushahidi uliowekwa wazi kuhusu Hujuma alizokuwa anafanya Zito mpaka wana CCM wenzake wanatoboa kila kitu na kuahidi kutoa lisiti za kununulia magari aliyopewa Zito bado tu hujaelewa !!!!!!!?? Umelogwa au we ndo Zito mwenyewe !!!
 
wamemwaga mboga sasa subiri tuanze kumwaga ugali
 
Kwa vile mods wameuacha uzi huu na kufuta nyingine zenye mashiko zaidi; bila hiana wacha tuchangie.

Ni hivi Mh. Shibuda ameshakuwa neutralized, hana madhara tena. Upande wa Zitto zilifanyika juhudi kubwa sana kumrekebisha na ilipobidi kumshawishi lakini wapi. Hasa Mh. Mbowe alimbeba sana Zitto akiamini angerudi kwenye mstari.

So each case was evaluated and dealt with individually and separately.
 


Katika jibu sahihi linalomfaa mtoa mada nnaona alizingatie hili bandiko lako hapa ,nnakupa like mkuu.
 
Kama ningekuwa mshauri wa Zitto, angeweza kutoka salama katika hili sagga, lakini kwa hawa washauri alionao, ni ndoto ya mchana....Wanamuangamiza maskini Zitto wa watu, nae sasa ashachanganyikiwa hata sijui kama ataweza kuhimili hizi stress.....Namshauri asiwasikilize washauri wake wa zamani
 
Mod hamtendi kwanini nyingine zinaunganishwa hata aliyepost akiomba?
 
Join Date : 4th January 2014
Posts : 4
Rep Power : 0
Likes Received 0

Likes Given 16



Hii inaonyesha ni jinsi gani lumumba B7 fc inavyojitahidi kufanya usajili mpya wakati huu wa dirisha dogo.

Asante sana kuonyesha profile hii.maana nilikuwa napata tabu sana .kuona ni jinsi gana huu upuuzi unaendelea kujadiliwa hapa .ccm ziii chadema hoyeee .
 
Mi naona haya mambo ya siasa za Tanzania ni upuuzi mtupu kuendelea kufuatilia.
Nimeamua rasmi kutojihusisha na siasa chafuzi za kitanzania na kujikita kwenye jukwaa la ujasiriamali huko ndo naweza kujikomboa mimi na familia yangu.
Nchi hii yote imejawa na ubinafsi/wachumia tumbo na hakuna mkombozi wa kweli kuptia siasa za vyama vingi zaidi ya kupakana matope na kujengeana makundi dharmu na hatimaye kuvuruga mbinu na mikakati ya kiukombozi.
Demokrasia ktk Nchi hii imekuja kuvuruga amani ya nchi na uzalendo.
Watu wapo tiari kutoa povu jingi sana jukwaani kupondana kisiasa ila ni kwa masrahi binafsi.
Tunashindwa kujadli masuala nyeti yanaloliangamiza taifa, leo hii hakuna kiongozi awaye yeyote si kisiasa wala watawala waliopo madarakani anaweza kuelezea anaumia au kuguswa vp na ukimya wa masuala ya richmond, meremeta,kagoda,epa,upotevu na hujuma za wanyama wetu, maisha magumu kwa mtanzania, ufujaji wa raslmali zetu, madawa ya kulevya n.k
Ni ushenzi mtupu.
Nitajitokeza kweupe kupgania nchi yangu kwa damu yangu.
 
too late
 
we ndo msemaji wa mbowe n mtei saccos
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…