Kuna njama ndani ya CHADEMA

zitto amenunuliwa na ccm kwa vipande 30 kama yuda eskalioti
 
Wote Shibuda na Zitto ni wasaliti wa CDM, japokuwa wanatofautiana kimkakati. Wakati Shibuda akitumia mbinu dhaifu kama kejeli na vijembe, ZZK amefanya kazi ya muda mrefu ya kutengeneza makundi ndani ya CDM kwa ajili yake binafsi.

Hakuna hoja yeyote ZZK aliyoisimamia kwa maduni ya chama na ndio sababu hata wafuasi wake wameshindwa kutofautisha maslahi ya chama na mtu. Wanatamani CDM ife hata leo ili kumkomoa Mh. Mbowe na Dr. Slaa. Huu ni usaliti udiovumilika.
 
cjui hata darasa la kwanza umepita?? ni aibu kwangu mm kukujibu ila ni fahari ujickie kupata responseyangu.
 
nilitaraji utajibu hiv tambua mbowe na dk wakimuona zito wanapata tumbo la kuhara ivo walkua wanamwinda kwa hali na mali a targeted mission kummaliza na sio usaliti
 
cjui hata darasa la kwanza umepita?? ni aibu kwangu mm kukujibu ila ni fahari ujickie kupata responseyangu.

nilichokigundua kwako co kujadil hoja uloleta ila unafikiri kwa kutumia tumbo hapo wawaza buku 7 kwa Nepi ucjeikosa ukishindwa mjadala hum,,,poule sn njaa ztawamalza
 
Shibuda ni mpiga kelele hana madhara ila ZZK yeye anaandaa mikakati ya kukiua chama kwa kushirikiana na ma CCM yupi ni hatari kwa uhai wa chama kati ya hawa?
 
Kuna siri kwa wakubwa lkn sisi walalahoi tunafuata mkumbo tu kwa kuwatetea viongozi wetu wakati wanamakosa sana
 
Hakika umetumwa na magamba.
 

Ni kweli mkuu ujue tunaumiza vichwa sana lkn tayari tushagundua madudu mengi sana juu ya mambo wanayoyafanya mwenyekiti na katibu wake,lkn mungu ataliweka wazi na kuwafedhehesha tu.
 

Acha umburura wewe,kila utakaloambiwa utaamini tu??mm nimesikia mtei ndio kampa pesa na gjarama zote za mahkamani,sa tuamini lipi hapo??fitna tu
 
Hakika CCM hawakutarajia lakini mnatakiwa kuelewa kwamba hii nchi sahiv watu wamesoma kama nyie,wanajua kama nyie na hata fitina wanaijua kama nyinyi tatizo ni kwamba hamkutegemea hayo, na kweli ni Muhogo mwingine mchungu kwenu,hii ndo CHADEMA!
MKOMBOZI WA WANYONGE,HAUTAKI KULA KONA.
 
Kamati mbona hadidu rejea mh shibuda hayupo mnamuonea zito kwa kuwa yeye ni tishio kuliko shibuda ???

ZZK amekwisha potea katika ramani ya siasa za Tanzania sasa ndio tutajia yeye na CDM nani zaidi.
 
Sina uhakika lkn yawezekana shibuda kahusu kaskazini au kaoa huko,au kwa vile hajataka uenyekiti na kutaka kufichua maovu ya mwenyekiti juu ya uharibifu wa fedha ndio maana hawamuhitaji
 
Umewaomba hata Mods wasiondoe ili tujadili assumption yako, kifupi ni kwamba Shibuda hana effect yeyote hata kama atasema nini juu ya chama, hii ni kutokana na mambo mengi ikiwa ni pamoja na nafasi yake katika chama na ushawishi wake. Hivi leo hii akiongea Shibuda kuna mtanzania yeyote anayefikirisha ubongo wake eti Shibuda katamka neno? Labda familia yake ambayo inasababu za msingi zakufanya hivyo. Unalinganishaje kosa la Shibuda na Zito? hebu jalibukuorozesha uone kama yanalingana jambo yote ni usaliti. Mtu akihukumiwa kunyongwa kwa sharia ya TZ ni kwa sababu kauwa, kwa wanaotukana wanahukumiwa kunyongwa?
 

umeme umepanda bei hivi unalitambua hili? Au unayajua ya chadema tuu?zz
 
Kuna siri kwa wakubwa lkn sisi walalahoi tunafuata mkumbo tu kwa kuwatetea viongozi wetu wakati wanamakosa sana

Join Date : 4th January 2014
Posts : 4
Rep Power : 0
Likes Received 0

Likes Given 16



Hii inaonyesha ni jinsi gani lumumba B7 fc inavyojitahidi kufanya usajili mpya wakati huu wa dirisha dogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…