mazaga one
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,603
- 4,188
wewe ni mwanachuo?Moja ya mtandao ulioanza na network ya 4G,lakini kwenye suala la vifurushi umekuwa mtandao usijari wateja wake,mlikuwa na University offers nzuri sana hapo mwanzo lakini kwa sasa mmebana vifurushi vya hizo offers,watu wanakambia sasa hivi ikiongezwa na ushindani wa mitandao ya simu na offer zilizopo,,,,jitahidini kurudisha huduma kama mwanzo watu wamehifadhi line zenu mpaka hapo mtakapojirekebisha,oneni TTCL,Vodacom,Halotel na Airtel walivyo na university offer nzuri...Msikilize wateja wenu ili kuendana na ushindani.
Msipende vya urahisi sana...
Mimi nashauri waweke mfumo wa ukipiga au kupigiwa unakatwa salio...
Ukituma sms au kupokea unakatwa salio... Adabu iwepo...
Cc: mahondaw
Ndiyo mkuuwewe ni mwanachuo?
Tigo yako iko poa?[emoji23] [emoji23]Tigo yangu ipo lkn siweki salio napigiwa tuu
we mwanamke upo aisee uko wapi siku hizi??Tigo yako iko poa?[emoji23] [emoji23]
Isalimie tigo yako [emoji23] [emoji23] [emoji23]we mwanamke upo aisee uko wapi siku hizi??
nao majanga..nanunua 1gb inaisha faster kama barafu juani.Halotel.
Hahahaha...! hiyo ipo mpakani hasa kwa Voda ambapo mtandao ukisoma Safaricom ukapigiwa na ukapokea kama ulikuwa na salio linakatwa, likiisha huwezi kupokea simu utatumiwa tu sms.Msipende vya urahisi sana...
Mimi nashauri waweke mfumo wa ukipiga au kupigiwa unakatwa salio...
Ukituma sms au kupokea unakatwa salio... Adabu iwepo...
Cc: mahondaw