Kuna nini mbona hawa ndio wanampiga Lowassa!

Kuna nini mbona hawa ndio wanampiga Lowassa!

mzee wa kismati

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2013
Posts
2,291
Reaction score
798
Kabla hujaanza kuleta ushabiki jiulize ni kwanini mzee na uvivu wake wote ule, familia kutajwa kuhusika na ESCROW kuzima migomo ya mdaktari, wahitimu wa JKT, na wafanyabiashara kwa kutolewa meno bila ganzi, huyu aliyeshusha thamani ya fedha yetu, kwanini anampinga Lowassa.

Makonda huyu cheap poparity seekeer, alimpiga makofi Warioba akijaribu kuzuia katiba ya wananchi, hamjiulizi kwanini?

Hamjiulizi kwanini mwizi wa fedha za gadafi huyu mwenye visa na visasi anamchafua Lowassa?

Sitta mnafiki aliyefikiri kwa kuyumbisha ukweli na mawazo ya wananchi na katiba ya warioba, 6 yule mwenye ubinafsi alifikiri kwa kuwapendelea wabunge ccm kweny bunge la BMK angepewa ridhaa ya kupeperusha bendera ya ccm, huyu mnafiki huyu anampinga lowassa

Msema hovyo Nape , huyu ambaye alihusishwa kuanzisha cham cha CCJ pamoja n sita , anamuunga mkono mtu kama membe, kwanini???

Kabla hatujaanza ushabiki tujiulize, ni kwanini kati ya wagombea wote ni lowassa tu kila siku?

Magazeti ya serikali inayojiita sikivu, serikali iliyoshindwa kabsa kutatua kero za wananchi, inayoendesha mambo kibabe, mfano swala la katiba mpya, migomo, ni kwanini hawa nao wamejikita kumnyoshea kidole lowassa??

Kati ya watia nia wote ni lowassa tu ananyooshewa kidole? kuna nini hapa? ninapata wasiwasi kwanini?? kuna kitu gani katikati hapa?

Sijasikia mtia nia akimsema vibya mwenzake tofauti na Lowassa
Makongoro, Sita, Membe, Makamba, Wassira, Mwigulu wote hawa wamemsema vibaya, lakini si mwingne, Nauliza KUNANI?

Mwisho napenda kushauri ni vema tukaliangalia hili swala kwa mapana na marefu, ushabiki wakijnga utatuletea balaa, tutapata raisi mbovu, mzembe, msema ovyo bila vitendo pasipo vitendo, mwizi, fisadi kuwahi kutokea.

Ifike wakati tunaojiita maGREAT THINKERS tutumia akili zetu kuchambua mambo na sio kuleta ushabiki usio na maana

Usiku mwema.
 
Ndio maana welevu wanamkubari EL.

Hakuna mtu mbaya kama mtu mnafiki.ogopa sana.amini nakwambia nchi itakuwa salama Mara mia tukimwajiri mchawi tunayemjua kuliko malaika mgeni.
 
Hahaha eti lowasa anatumia pesa nyingi?! Nitajie mmoja ambaye u.ahisi katumia pesa chache. Epa, Escrow zote zipo kutafuta pesa ya uchaguzi ya chama.
 
Na wewe jiulize ni kwa nini lowasa anatumia pesa nyingi ili aingie magogoni.?

Acheni unafki hizo pesa katumia wapi?
Kwenye kile kimin bus?
Pita mtaani ufanye research uje na statistics uoneshe wananchi waliotumika na hizo pesa.
 
Acheni unafki hizo pesa katumia wapi?
Kwenye kile kimin bus?
Pita mtaani ufanye research uje na statistics uoneshe wananchi waliotumika na hizo pesa.

Lowasa alipofikuwa mbeya mjini,alikuwa na lichopa lake kazunguka hewani kwa masaa 4 kabla ya kutua! Madereva bodaboda,bajaji,vihiace wote walipiga pesa YA BABU JANJA!
 
Mkuu kuna Siri kubwa hapo!
Lowasa kaapa kuwaokoa Tembo wetu, kukomesha biashara haramu ya madawa ya kulevya!
Sasa familia ya mkuu wetu kupitia mwanaye maarufu inahusika moja kwa moja na uchafu huo!
Ndio sababu suala la visasi linatajwa tajwa sana hapa!
Sio visasi vya Richmond! Hapa ni zaidi ya hayo
 
hivi kweli malaika anaweza patikana kuzimu ? kumbukeni lile genge lililomwingiza kikwete ikulu ndo hilo hilo linataka kumpeleka lowassa magogoni wengi wao ni wafanyabiashara hivi mnawajua wafanyabiashara biashara vzr? katika watangaza nia wote wa ccm lowasa ndio kwa kuangalia tu kuna uwezekano mkubwa akawa ametumia gharama kubwa Kuanzia kutoa ela makanisani misikitini na sehemu mbalimbali je hizo ela anazosema za marafiki zake ni wakina nani na wanamkopesha au wanampa kwa makubaliano gani?
 
Kwani kikanuni na taratibu za uteuzi hana matatizo mpaka uanze kutafuta watu badala ya kujadiri vitu? Kati ya watu 38 yeye ndo alivunja taratibu kuliko wengine mpaka kumkata mtama mzee Kalokola
 
Lowasa na wengine wote zilipendwa.taifa linahitaji kijana ..naye ni January
 
Jibu ni rahisi hapo, Lowassa anapigwa vita na kila mgombea kwa kuwa si mtu safi anayestahili kuwa Rais wa nchi hii. Jamaa ni mwizi kwa kisingizio cha kuuchukia umasikini. Hafai duniani, hafai ahera.

Tiba
 
Mi mwenyewe nashangaa kwa nn wengi wanao msapoti wana kashfa yan Chenge~Msabaha~Tibaijuka~Rostam na kingunge
 
Jibu ni rahisi hapo, Lowassa anapigwa vita na kila mgombea kwa kuwa si mtu safi anayestahili kuwa Rais wa nchi hii. Jamaa ni mwizi kwa kisingizio cha kuuchukia umasikini. Hafai duniani, hafai ahera.

Tiba

Tatizo ni pale ambapo mwizi napiga kelele sana kuhusu mwizi mwingine. Sio yeye tu anatumia kisingizo cha kuutumia umaskini kutuibia, yako wapi maisha bora kwa kila mtanzania. Au kati ya wale wanaoteua majina, naomba jina moja la ambaye si fisadi, au kati ya waliotia nia any possible candidate ambaye si fisadi.

My view is usafi is not an issue here. kama issue ni usafi CCM haina mgombea.
 
Mkuu kuna Siri kubwa hapo!
Lowasa kaapa kuwaokoa Tembo wetu, kukomesha biashara haramu ya madawa ya kulevya!
Sasa familia ya mkuu wetu kupitia mwanaye maarufu inahusika moja kwa moja na uchafu huo!
Ndio sababu suala la visasi linatajwa tajwa sana hapa!
Sio visasi vya Richmond! Hapa ni zaidi ya hayo
Hayo ataweza kuyafanya kwa kuwatumia RA na Karamagi!
 
mzee wa kismati

''scritto scritta''....WALE HUSEMAGA KILICOANDIKWA...KIMEANDIKWA....
 
Last edited by a moderator:
Na wewe jiulize ni kwa nini lowasa anatumia pesa nyingi ili aingie magogoni.?

jiulize? kwanini BUNGE LILISIMAMA KWA DK 1,JANA!!

WHY?

SIRI GANI WANAYOIFAHAMU WABUNGE?

WABUNGE WOTE NI WEHU MPAKA KUMSHANGILIA LOWASSA!

KWANINI PINDA NA WENGINE HAWAKUPIGIWA NDEREMO?
 
jiulize? kwanini BUNGE LILISIMAMA KWA DK 1,JANA!!

WHY?

SIRI GANI WANAYOIFAHAMU WABUNGE?

WABUNGE WOTE NI WEHU MPAKA KUMSHANGILIA LOWASSA!

KWANINI PINDA NA WENGINE HAWAKUPIGIWA NDEREMO?

Kama wanaccm mkikubali kuchaguliwa mwenyekiti na familia ya dhaifu mtakuwa mmejitia aibu...
 
Back
Top Bottom