LebronWade
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 1,615
- 1,510
Mzee Zagazaga
Nadhani mngetuambia basi alietuibia!Maana tunajua ni Lowassa na tume maalum ya kibunge imetudhibitishia hivyo!
Sasa basi kama sio Lowassa ana wenzake basi tuambieni ni nani!Awataje basi...simple!