Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,085
- 13,168
Hakika... Mimi wasi wasi wangu upo kwenye uwekezaji wa bonds za serikali.Sina hofu sana huko, na naamini huo mtandao hauwezi kukubali kuchafuka kiasi hicho ila naamini watawafidia tu.
Ingekuwa ni vikoba vya mtaani ningekwambia tayari kimewalamba, anyway pray [emoji120]
Kama wanaweza kuturusha kwenye miradi... Wakaiba na kuivuruga chaguzi nadhani huko kwenye bonds sijui hati fungani ni suala la muda tu!