Kuna nini kwenye wanawake mabonge?

ziba

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2016
Posts
474
Reaction score
549
Utakuta mwanamke mnene amejazia minyama , toka hilo, hips ndo usiseme lkn kazaa KATOTO KEMBAMBA hata upepo ukivuma kwa kasi kanapeperusha mpaka Zanzibar.
je hii ni kwanini au huwa mnawabemenda?

Nisadieni kunipa majibu plz.
 
Ungeweka video ya huyo mtoto akipeperushwa hadi Zanzibar!!

Vimginevyo ni chai isiyo na sukari!!
 
Utakuta mwanamke mnene amejazia minyama , toka hilo, hips ndo usiseme lkn kazaa KATOTO KEMBAMBA hata upepo ukivuma kwa kasi kanapeperusha mpaka Zanzibar.
je hii ni kwanini au huwa mnawabemenda?

Nisadieni kunipa majibu plz.
Ni kweli kbs
 
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…