Kuna Nini kuhusu hii mashariki

Kuna Nini kuhusu hii mashariki

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
23,650
Reaction score
57,043
Kuna mashariki ya congo yaani Rwanda na sudan.na kuna mashariki ya kati hii migogoro Toka nazaliwa naikuta.. mashariki ya congo anakula Belgium Yuko mezani na washirika wake wa ulaya..

Mashariki ya Africa ni kwa UK

MASHARIKI YA KATI NO CHIMBO LA USA JE ANACHUKUA NINI PALE TUJIULIZE KUPITIA ISRAEL?
 
Technology za vita.hizo ndo route zake mashariki.copper ,zinc,uranium,Gold
 
Back
Top Bottom