Mawaziri wameingiwa na woga
Wafanyakazi wamepumbazika na kuduwaa...
Wasomi wako kimya --- Woga
Wachumi ni wachumia tumbo....njaa imo kichwani...Principle za uchumi ziko wapi?
Serikali inafanya siasa kila kitu....
Mapendekezo ya kufanya: Huwa silalamiki tu, huwa nina majibu.
1 - Serikali ijenge miundo mbinu ya Kilimo cha Umwagiliaji (Yaani budget ya Kilimo cha umwagiliaji iwe kama Budget ya Barabara na madaraja...)
Mashamba yenye rutuba yapo...
2- kwenye kilimo, serikali isitegemee wawekezaji....Nguvu kazi ya Watanzania itumike
Sasa nini Maana ya kuwa na SUA, LITI (Vyuo vya mifugo na Kilimo)..?
3 - Kukuza utalii kwa nguvu zote....
Kufungua southern circuit mpaka Mbeya, Songea
4 - Kufufua Zao la Kahawa na kuuza kwa wingi nje
5- Kuuza mazao nje ya nchi kama South Sudan, Ethiopia, Somalia, na Kenya
Kwa mapendekezo hayo hapo juu...VIWANDA vitakuja vyenyewe tu, kutakuwa hakuna nguvu kubwa ya kutangaza Tanzania ya Viwanda....
Acheni siasa, watanzania wanataka uchumi imara, shillingi bora, bei nafuu na huduma bora za afya...
Acheni kufukuzana na Akina LEMA na Tundu Lisu
CCM Fanyeni Mema na kukuza uchumi....Mkileta maisha bora kwa wananchi na wananchi wakaona....mtachaguliwa tu. CCM mtachaguliwa bila nguvu ya polisi wala kuiba kura...