Kuna nini kinaendelea?

Mavipunda

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
7,208
Reaction score
8,045
Kuna foleni kubwa hapa maeneo ya Mwenge, foleni imefika hadi Victoria. Kumbe kuna msafara wa CDF wa magari zaidi ya 16 yanatokea Lugalo ukiambata na Majenerali.

Hawa jamaa wakianza vikao vya ghafla kama hivi ujue kuna jambo.
 
USA na super power countries ukienda huwezi Kuona misafara mingi mingi.
Safari za ndani ya nchi zinatumika hell copter.
 
Kuna foleni kubwa hapa maeneo ya Mwenge..foleni imefika hadi Victoria.
Kumbe kuna msafara wa CDF wa magari zaidi ya 16 yanatokea Lugalo ukiambata na Majenerali..
Hawa jamaa wakianza vikao vya ghafla kama hivi ujue kuna jambo
CDF
Msafara
Magari 16
Majenerali
Vikao

Tupumzishe kidogo angalau tukapate bites
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…