Boss kwenye Red hapo Juu panakaaje???sifa ni nyingi kwa kweli
aliwai kusema anaumbo zuri hatapa usumbufu wa wanawake
ana tabia nzuri mkewe hatapata raha
ana juhudi ya masomo na ana akili darasani
ana upendo
na hii ni kama biashara ya kila siku mimi kusikiliza masifa ya bwana mdogo
mpaka inakera
Anatafuta njia ya kumuondoa hapo nyumbani kwenu - hapendi ndugu zako huyo mkeo!
Duh! Aisee Baba_Enock wewe kweli kiboko. Ndio maana inashauriwa jamaa arudi nyumbani bila taarifa ili ajue pindi akiwa hayupo hali ikoje. Usikute mke anamsifia dogo pindi jamaa akiwepo, ila akiwa hayupo dogo anafanyishwa kazi kama punda. Na dogo hawezi kulalamika kwa kaka yake na wala hapewi nafasi hiyo. Na hata akilalamika anaweza asieleweke kwa kuwa shemeji yake huwa anamsifia sana!
It might be that much tricky, kama ambavyo baadhi ya mama wa kambo huwa wanafanya.
sifa ni nyingi kwa kweli
aliwai kusema anaumbo zuri hatapa usumbufu wa wanawake
ana tabia nzuri mkewe hatapata raha
ana juhudi ya masomo na ana akili darasani
ana upendo
na hii ni kama biashara ya kila siku mimi kusikiliza masifa ya bwana mdogo
mpaka inakera
Labda kuna vitu ambavyo wewe huna kwa hiyo anamtumia mdogo wako indirectly kufikisha ujumbe? Je, wewe huna hizo "qualities" za mdogo wako? Ukijilinganisha na mdogo wako, unajionaje? What sort of personality do you have? Kiumri mnatofautianaje kati ya wewe, mkeo na mdogo wako? Kama ningekuwa mie ningeichukua hiyo kama challenge. Pia badala ya kusema inakera, mkeo anapoanza kumsifia mdogo wako then, jaribu kumjibu in sense of humour. Or try to be cocky in your answers, but don't offend either of them. Kwa mfano kama anasema mdogo wako ni mzuri mjibu kuwa anakumbuka Nyerere alishatumbia kuwa kama tunamtaka kumchagua Kiketwe kuwa rais basi tukanywe naye chai? Matokeo yake tumemchagua rais, pamoja na "uzuri wake wote tuko wapi? Heri Mkapa mara mia!!" Surprised her with your answers. Usiwe too defensive or insecure. take it easy man
mie nahisi wewe kaka hujiamini,unafeel inadequate kama mwanaume ndio maana unaona mawenge,unaona vitu ambavyo havipo sababu uko soo insecure.......anza kufanya yale yote ambayo mkeo ana sifia ili usifiwe wewe :biggrin1::mod:
mke wangu ana msifia sana mdogo wangu wa kiume, yaani kuna wakati hata hakuna umuhimu wa hizo sifa lakini yeye anamwaga tu sifa kwa bwana mdogo!!!!!
mkuu kusema kweli dogo yuko na mvuto kuliko mimi
lakini duh ina maana unataka kusema mke wangu anatamaa kiasi hicho
Baada ya kusoma sana na kutafakari nimepata kujua kinachosumbua; hakuna tatizo lolote kichwani kwa mke wako; nadhani tatizo lako kichwani mwako. Unaona visivyokuwepo na kuhisi visivyothibitishwa. Matokeo yake umeanza kuwa kama lile simulizi la Kaini na Habili kwenye Maandiko maana jamaa alianza hivi hivi..
Mbona Mungu anammwagia sana sifa Habili
Mbona Habili anaonekana kupendwa sana
Mbona mbona..
Mwisho Mungu akamuuiliza Kaini, kwani na wewe ukifanya vizuri hutakubaliwa? Well.. badala ya kufanya vizuri unajua alienda akafanya nini? So.. take it easy.. zungumza na mwandani wako, kama kuna vitu mdogo wako anavifanya vizuri sana nawe usisite kumpa sifa wala usimwazie vibada ndugu wa damu yako. Kama ni kweli shemeji yetu anavutika kwa bwana mdogo, mtulize tu mtoto wa kike tena kwa upendo si kwa kumshutumu maana kama hakuwa na wazo baya unaweza kulipandikiza mwenyewe na baadaye ukalivuna kwa machozi.
Otherwise, akimwaga sifa na wewe mmwagie mdogo wako mara mbili!
ni kweli kabisa,
ila avatar yako utata
anyway poa

Vikwazo matumizi ya H bana, unajua unaweza ukaweka H ikaleta maana tofauti kabisa kama hapo juu ulimaanisha atapata mean will get.... hatapata ...will not getdada jina langu ni vikwazo naona umeniita kaka hapo juu
kuhusu hizo sifa anazopewa dogo nyingine ni maumbile yake
na mambo kama mkewe hatakuwa na raha ni mtu mzuri
[SIZE=3[B]]hatapa[/B] mke mzuri na nyimboi kama hizo[/SIZE]
mimi nataka msaada kuhusu jinsi ya kuendo situation naona wewe umenimwagia tuhuma tu.