Desprospero
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 895
- 2,206
Labda nawe hili bandiko lako ungeandika saa 17:17 ingeleta maana zaidiAliyekuwa mgombea Urais na hatimaye kuwa Rais John Pombe Magufuli alifariki tarehe 17/2/2021. Aliyekuwa mpinzani wake 2015 Edward Lowassa ambaye pia ni Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa naye atazikwa tarehe 17/02/2024. Na wakati huo msafarawa Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Paul Makonda umepata ajali time 17:7 huku magari 7 yakibondeka na watu 7 kujeruhiwa. Wanajimu tupeni maneno hapa.
Aliyekuwa mgombea Urais na hatimaye kuwa Rais John Pombe Magufuli alifariki tarehe 17/2/2021. Aliyekuwa mpinzani wake 2015 Edward Lowassa ambaye pia ni Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa naye atazikwa tarehe 17/02/2024. Na wakati huo msafarawa Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Paul Makonda umepata ajali time 17:7 huku magari 7 yakibondeka na watu 7 kujeruhiwa. Wanajimu tupeni maneno hapa.
Wote watatu17/2 ni maalim seif sio Magufuli
Yes, nashukuru masahihishoMagu si ilikuwa 17/3
Unataka kusema nini exactly? Kifo cha JPM mbona ilikuwa March 21, 2021? Wewe hiyo Feb 17 umeitoa wapi?Aliyekuwa mgombea Urais na hatimaye kuwa Rais John Pombe Magufuli alifariki tarehe 17/2/2021. Aliyekuwa mpinzani wake 2015 Edward Lowassa ambaye pia ni Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa naye atazikwa tarehe 17/02/2024. Na wakati huo msafarawa Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Paul Makonda umepata ajali time 17:7 huku magari 7 yakibondeka na watu 7 kujeruhiwa. Wanajimu tupeni maneno hapa.
kwa Neema na Baraka za Mungu hapa napo tutavuka salama ....Aliyekuwa mgombea Urais na hatimaye kuwa Rais John Pombe Magufuli alifariki tarehe 17/2/2021. Aliyekuwa mpinzani wake 2015 Edward Lowassa ambaye pia ni Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa naye atazikwa tarehe 17/02/2024. Na wakati huo msafarawa Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Paul Makonda umepata ajali time 17:7 huku magari 7 yakibondeka na watu 7 kujeruhiwa. Wanajimu tupeni maneno hapa.
Weka vizuri kumbukumbu zako, mengineyo ni dhana tu.Aliyekuwa mgombea Urais na hatimaye kuwa Rais John Pombe Magufuli alifariki tarehe 17/2/2021. Aliyekuwa mpinzani wake 2015 Edward Lowassa ambaye pia ni Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa naye atazikwa tarehe 17/02/2024. Na wakati huo msafarawa Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Paul Makonda umepata ajali time 17:7 huku magari 7 yakibondeka na watu 7 kujeruhiwa. Wanajimu tupeni maneno hapa.
HahahaaHizo tarehe zako.SIO SAHIHI.japo na wao wametudanganya ila wewe umetudanganya sana